Kurudia mtihani

Nisaidieni waungwana, nina D moja tuu ya form iv, na nimemaliza mwaka elfu mbili na nne, nataka nirisit masomo matano, jaman ntaweza kuyahimili kweli wkt nafanya na kazi??

Kurisiti noma wanakupa credit moja moja kila mwaka na mpaka zikatimie miaka mi3. Chakukushauri soma certificate the diploma the digree kwani utafika tu huko walikofika waliopitia fm6
 
@Wababa, utaratibu wa sasa wa NECTA kuresit, lazima urudie na ufanye masomo saba, na kumbuka pia, mitalaa ya O-level imebadilishwa, kwa hiyo wala usiobabaike na hii kitu, bado QT inasaidia sana, binafsi, nilikuwa nikiwafundisha wafanyakazi wa ngazi tendaji chuo fulani hapa jijini, ni watu wazima sana na wana majukumu ya kifamilia na ndoa, hawa nilikuwa nakutana nao wakishatoka madarasa ya QT na ninakuwa nafanya brushing tu, zaidi ni kuwa na utayari na huu mwaka tunaoenda kuukaribisha unaweza kuwa ni mwaka wako wa baraka na mafanikio
A%20S%20465.gif

thanx m2 wangu, ubarikiwe xana
 
Back
Top Bottom