haloo
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 569
- 217
Habari wanajamii nimeingia instagram ktk page ya ITV nimekutana na habari hii.Kwamba wanafunzi woote waliojiunga na kidato cha kwanza ktk shule za serikali wanatakia kurudia hiyo nitihani.Wanafunzi ambao watakao faulu wataendelea na masomo ya sekondari na watakao shindwa hawataendelea na masomo.Hii ni kwa lengo la uhakiki wa wanafunzi hao ,jamani naombeni ufafanuzi ni kweli hii issues au ITV walikuwa wanatania tu?