Kurudi jamvini baada ya muda!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kurudi jamvini baada ya muda!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtumishi Wetu, Jul 19, 2011.

 1. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,982
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Nawashukuru wana jamii kwa updates zenu zenye ukali kama ndimi za moto. Tena Forum imekuwa kama weakleaks ya TZ. Tukio la kufurahisha ni la RA kukimbia baada ya kujitetea kwa muda mrefu akisaidiwa kwa karibu na Bwn Bashe. Sasa kazi ndio imeanza, sijui huyo Bwn White head na Vijisenti wanangoja nini, mwenzao kaisha onyesha njia!!!!!!!!!!!!! Nawapongeza Jamii Forum tena mzidi kukaza buti mapambano ndio yameanza. Wanamagamba wameshtuka wanaweweseka wanaumbuana, lakini tusipoteze mwelekeo. Nilikuwa Kampala ngao wa umeme kama kawa, pamoja na mahydro power stations umeme hautoshi, wana mpango wa Bujagali hydro power dam nadhani itaokoa jahazi kwa wenzetu. Sisi tuna mpango upi??????? Wabunge wanahongana mahela tuuu!!!!!!!! Aluta Continua.
   
Loading...