kadyuwegeyeson
Member
- Jul 19, 2018
- 35
- 48
habari ndugu zangu
ninaomba kuuliza ninaweza kuroot simu yangu ya Motorola c plus na ninafanyaje?
ninaomba kuuliza ninaweza kuroot simu yangu ya Motorola c plus na ninafanyaje?
Bila pc kiongoziKwa PC au Bila PC
Okay Asantesimu yako ni ya mwaka jana, yenye Android 7,0
nadhani utakuta ni ngumu kidogo kuroot bila PC simu za aina hii