KURITHISHA BIASHARA ZA FAMILIA/FAMILIY BUSINESS Succession | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KURITHISHA BIASHARA ZA FAMILIA/FAMILIY BUSINESS Succession

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by CHASHA FARMING, Jul 7, 2012.

 1. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  KURISISHA BIASHARA/FAMILIY BUSINESS
  Famiily businessimetapakaa sehemu nyingi sana Dunianikuanzia MAREKANI, ULAYA, ASIA NA AFRICA, na kampuni nyingi sana Kubwa dunaninyingi ni za Familia zinamilikiwa na Familia pamoja na kwamba zinakuwa na watuwengine nje ya FAMILIA
  HAPA CHINI NI MOJA YA KAMPUNI 250 DUNIANI ZINAZO MILIKIWA NAFAMILIA, INGAWA ZINASHRE HOLDER WENGINE OUT OF FAMILY,

  [TABLE="class: MsoNormalTable, width: 303"]
  [TR]
  [TD="width: 340, bgcolor: transparent"]
  Company
  [/TD]
  [TD="width: 64, bgcolor: transparent"]
  Rank
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 340, bgcolor: transparent"] Wal-Mart Stores
  [/TD]
  [TD="width: 64, bgcolor: transparent"]
  1
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 340"] Ford Motor Co.
  [/TD]
  [TD="width: 64"]
  2
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 340, bgcolor: transparent"] Samsung
  [/TD]
  [TD="width: 64, bgcolor: transparent"]
  3
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 340"] LG Group
  [/TD]
  [TD="width: 64"]
  4
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 340, bgcolor: transparent"] Carrefour Group
  [/TD]
  [TD="width: 64, bgcolor: transparent"]
  5
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 340"] Fiat Group
  [/TD]
  [TD="width: 64"]
  6
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 340, bgcolor: transparent"] Ifi Istituto Finanziario Industriale S.p.A.
  [/TD]
  [TD="width: 64, bgcolor: transparent"]
  7
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 340"] PSA Peugeot Citroën S.A
  [/TD]
  [TD="width: 64"]
  8
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 340, bgcolor: transparent"] Cargill Inc.
  [/TD]
  [TD="width: 64, bgcolor: transparent"]
  9
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 340"] BMW (Bayerische Motoren Werke AG)
  [/TD]
  [TD="width: 64"]
  10
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 340, bgcolor: transparent"] Hyundai Motor
  [/TD]
  [TD="width: 64, bgcolor: transparent"]
  11
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 340"] Koch Industries
  [/TD]
  [TD="width: 64"]
  12
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 340, bgcolor: transparent"] Robert Bosch GmbH
  [/TD]
  [TD="width: 64, bgcolor: transparent"]
  13
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 340"] SCH (Banco Santander Central Hispano S.A.)
  [/TD]
  [TD="width: 64"]
  14
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 340, bgcolor: transparent"] ALDI Group
  [/TD]
  [TD="width: 64, bgcolor: transparent"]
  15
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 340"] Auchan Group
  [/TD]
  [TD="width: 64"]
  16
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 340, bgcolor: transparent"] Pinault-Printemps Redoute
  [/TD]
  [TD="width: 64, bgcolor: transparent"]
  17
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 340"] Ito-Yokado
  [/TD]
  [TD="width: 64"]
  18
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 340, bgcolor: transparent"] Tengelmann Group
  [/TD]
  [TD="width: 64, bgcolor: transparent"]
  19
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 340"] J Sainsbury
  [/TD]
  [TD="width: 64"]
  20
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 340, bgcolor: transparent"] Motorola
  [/TD]
  [TD="width: 64, bgcolor: transparent"]
  21
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 340"] Viacom
  [/TD]
  [TD="width: 64, bgcolor: transparent"]
  22
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 340, bgcolor: transparent"] Novartis Group
  [/TD]
  [TD="width: 64, bgcolor: transparent"]
  23
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 340"] Tyson Foods
  [/TD]
  [TD="width: 64"]
  24
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 340, bgcolor: transparent"] Bouygues
  [/TD]
  [TD="width: 64, bgcolor: transparent"]
  25
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 340"] Roche Group
  [/TD]
  [TD="width: 64"]
  26
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 340, bgcolor: transparent"] Bertelsmann
  [/TD]
  [TD="width: 64, bgcolor: transparent"]
  27
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 340"] Weyerhaeuser
  [/TD]
  [TD="width: 64"]
  28
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 340, bgcolor: transparent"] Loew’s
  [/TD]
  [TD="width: 64, bgcolor: transparent"]
  29
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 340"] News Corp.
  [/TD]
  [TD="width: 64"]
  30
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  NIMEOROZESHA CHACHE KATI YA NYINGI SANA ZINAZO MILIKIWAKIFAMILIA HAPA DUNIANI,
  SASA BASI KWA NINI FAMILY BUSINESS NYINGI SANA KWA TANZANIAHUFA MARA TU, MMILIKI ANAPO UGUA, KUFARIKI AU KUZEKA?
  1. UENDESHAJI WA BIASHARA KIUCHAWI/KWA KUTUMIAWAGANGA

  Ni ukweli kabisa kwamba baadhi ya matajiriwa Tanzania ukifuatilia historia za biashara zao na jinsi wanavyo ziendeshautagundua kwamba, zinaendeshwa kwa NGUVU ZA GIZA, unakuta kuna mashariti kibao,LIKIWEMO RA TAJIRI KUTOA KAFARA, TAJIRI KUTORUHUSIWA KUTUMIA VITU VYA ANASA NAKAZLIKA
  KWA STAILI HII BIASHARA NYINGISANA ZA AINAHII, HUFA MARA TU MMILIKI WAKE ANAPO KUWA AMETOWEKA DUNIANI

  2. KUKOSEKANA KWA MAANDALIZI
  WANYA BIASHARA wengi huwa hawana Utamaduniwa kuwaandaa watoto wao kwa ajiri ya kurithi biashara na Matokeo yake ni Waowenyewe kuendelea kuendesha biashara, KUKOSEKANA KWA MAANDALIZI HUPELEKEA KUFAKWA BIASHARA ZA FAMILIA, na Biashara hufa kwa sa babu mtu anaye chaguliwakurithi biashara au kusimamia anakuwa hana Elimu wala uelewa kuhusu biashara zababa yake na matokeo yake ni kuongoza anavyo jua yeye na mwisho kufa kwabiashara yenyewe
  MAANDALIZI KUFANYIKA KWA HARAKA NA KWA ZIMA MOTO


  3. UGONVI WA KIFAMILIA

  Hii ni moja ya sababu kuu ya familybusiness nyingi sana kufa, Mara tu baada ya Baba/Mama anapo fariki, huanzaugonvi mkubwa sana wa kugawana mari za baba/mama, Na huu ugonvi ni matokeo yaKutokuwepo maandalizi mapema ya Nani ataongoza biashara za Fmailia,

  4. UKUBWA WA FAMILIA

  Ukubwa wa Familia nao ni sababu kuu yaBiashara nyingi za familia kufa, Mara baada ya Mwanzilishi kuchoka au kuugua,Watoto wa mmiliki na wake zake huanza michakato ya kugawana mari na kwa kuwafamilia ni kubwa sana hujikuta wana ua kampuni

  5. FAMILIA/WATOTO/MKE/MME KUWA MBALI SANA NABIASHARA

  Hili nalo ni Tatizo kubwa sana, Mara nyingiutakuta BABA/MAMA anapambana kivyake na wafanya kazi huku Watoto na Mama wakiwabise na mambo yao wenyewe,

  6. WATOTO/MKE/MME KUTOKUWA NA HOBY NA BIASHARA

  Utakuta Baba ana Biashara kubwa sana lakiniWatoto wana hoby na vitu vingine kabisa na Hata sisi ni MASHAHIDI , UTAKUTABABA ANA KAMPUNI KUBWA ILA WATOTO WAKE EITHER WANASOMEA FANI TOFAUTI AUWANAFANYA KAZI ZA KUAJIRIWA, hushangai kukuta Mtoto ni Mwalimu huku Baba yakeni Mfanya biashara mkubwa sana

  7. BIASHARA NYINGI KUENDESHWA KIMAGENDO/ RUSHWA,UKWEPAJI WA KODI

  Wafanya biashara wengi sana, ukifuatiliaBISHARA ZAO UTAAMBIWA wanakwepa kodi, Au wanafanya biashara za Magendo auWahonga sana watendaji wa Serikali ili kufanisha biashara zao, KWA STAILI HII,NI RAZIMA BIASHARA IFE KWA SABABU WATOTO WANAKUWA HAWANA HUO UWEZO WA KUFANYABIASHARA ZA HIVYO AU HWAPENDI KUFANYA BIASHARA ZA NAMNA HIYO HIVYO KUPELEKEABIASHARA KUFA


  JE NI ZIPI NJIA SAHIHI AU NJIA NZURI ZAKURITHISHA BIASHARA?

  1. ANZA KUANDAA FAMILIA YAKO MAPEMA

  Anza kwa kustracture familia yako katika mkao wa kuindaa kuja kurithiBIASHARA ZAKO MARA TU UTAKAPO KUWA HUNA NGUVU, UMEFARIKI NA KAZALIKA, hii ninzuri ili kuwepo na muda wa kutosha wa FAMILIA KU ADRESS PERSONER CONFLICTZITAKAZO JITOKEZA AU ZILIZOPO,
  Unaweza hata kutumia watu wan je kuishawishi familia au kuipa ELIMUFAMILIA YAKO
  Familia ni lazima waafikiane na mrithi wa kuongoza biashara yao, haihitaji siri yoyote hapa


  2. ANZA KUMUANDAA MURITHI KISAIKOLOJIA

  Warithi wa BIASHARA huandaliwa MAPEMA sana na sio ISHU YA ZIMA MOTO, namara nyingi kwa WATANZANIA WARITHI WA BIASHARA HUPATIKANA KUPITIA KIKAO CHAFAMILIA MARA TU BAADA YA MSIBA, na hapa ujuzi huwa hauzingatiwi
  MPE MAZOEZI KWA VITENDO, IKIWA NI PAMOJA NA KUMWACHIA AFANYE BAADHI YASHUGHULI,

  MRITHI ANATAKIWA AANDALIWE
  - KIELIMU- apewe elimu inayo husika na biashara zaBaba, na Mtoto asiruhusiwe kusoma POLITICAL SCIENCE wakati anatakiwa kurithiBiashara
  - KISAIKOLOJIA- Ni lazima aadaliwe kisaikolojiaili ajue jinsi ya kuhendo hiyo kazi,
  Hapa hakikisha hufanyi KOSA wakati wa kuchagua na Hii huchua si CHINI YAMIAKA 15 KUMUANDAA

  3. ANZA KUANDAA DOKOMENTI ZA KURISISHA MAPEMA

  Ni vizuri Dokoment za kurisisha zikaanza kuandaliwa MAPEMA SANA ikiwemonkuwatumia wanasheria kuziandaa na kuanza kubadili Majina ya Umiliki waBIASHARA KUTOKA WEWE KWENDA KWA ULIYE MUANDAA AU FAMILIA YAKO
  Tumia wanasheria kufanya hii kazi

  4. PANGA KABISA NA LINI UTAMUACHIA MRITHI MAJUKUMU

  Hapa watu huzani ni Mpaka Mmilikia Afe/augue/azeeke ndo arisishe, Nounatakiwa kabisa kupanda Tarehe na wakati wa kukabidhi majukumu na wewekupumzika Nyumbani na kula matunda ya kazi yako

  5. MTAMBULISHE MRITHI WAKO KWA MARAFIKI WAKO WABIASHARA/WAFANYAKAZI

  Nivizuri marafiki wako wa biashara wakajua MRITHI wako mapema

  NB: Kwa Tanzania Wafanyabiashara wenye asiri ya ASIA au WAHINDI ni moja kati ya watu wenye mafanikio kwenye FAMILIY BUSINESS KURISISHA, ndo maana ni vigumu kukuta Mtoto wa Kihindi akitafuta kazi, wengi wao wanasoma kusaidia Biashara za BABA ZAO, na wengi wao wanasoma Kozi ambazo zinaendana na Biashara za WAZAZI WAO

  Ndo Maana huwezi kuta watato wakihindi vyuoni wakiwa wanasoma EDUCATION AU SOCILOGY NA LAZALIKA,

   
 2. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  Kweli mkuu unaloliongea ni TRUE KABISA...wabongo wengi sana japo wanakana lakini ni WAPULIZAJI ILE MBAYA...Biashara lazima iwe na kamzii kidogo mara kukwepa CHUMA ULETE, mara KUFANYIZIWA na wabaya kama huamini nenda pale kariakoo daslam ufanye utafiti mdogo tu kwa nini kila duka kubwa kuna kama sio mtu chizi chizi kakaa nje ya mlango wa duka utamkuta mtu yuko mlangoni anamumunya mununya maneno yasiyoeleweka na yuko serious kama yuko kwenye interview..ndio maana bishara nyingi haziwezi kurithiwa...
   
 3. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  MKUU UMENIFURAHISHA SANA, YAPU NDO BIASHARA ZETU, HIZO, Ndo maana hata ukisikia kuna Furusa za Uwekezaji SUDAN YA KUSINI hatuwezi enda make tunajua mambo yetu sio,

  Kwa kifupi biashara nyingi sana Za Watanzania zinakuwa na NGUVU ZA GIZA, na ndo maana hatuwezi hata Kuunganisha nguvu,
   
 4. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2012
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ubinafsi pia ni tatizo mojawapo, nilishawahi kuwasikia baadhi ya wazazi wakisema kwa kuwa yeye alipata shida kutafuta mali basi na watoto watafute za kwao.
   
 5. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #5
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  kweli kabisa, utakuta Mtoto baba yake ni mfanya biashara lakini watoto wana ng'ang'ana na kozi za ajabu, badala ya kusoma waje kumsaidia baba yao kuendesha biashara
   
 6. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  educative, i like it.
   
 7. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #7
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu, KOMANDOO kipekee nimekukubali kamata hiyo LIKE kwanza (yaani kula tano kwa hapa kwetu bongo). Ni muda muafaka wakubadili fikra zetu. Mtizamo wakufanya biashara ubadilike. Hata huo uchawi unarithishwa ila mpaka lini?
   
 8. Q

  Qsm JF-Expert Member

  #8
  Jul 9, 2012
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 400
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Tamu sana
   
 9. k

  kijereshi JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Well said Komandoo cha msingi kinachokosekana nadhani in ''succession plan" wazazi wengi hasa wa Kitanzania hawako tayari kuwafundisha wanae/mwanae biashara anazozifanya yeye ili hapo baadae mwanae apate kuendeleza hizo biashara kipindi mzazi anapokuwa hana nguvu tena au kazeeka au kafariki matokeo yake biashara nyingi zimekufa 'natural death' baada ya wamiliki kufariki

  Aidha kwa Wahindi nadhani biashara zao nyingi zinaendelea kukua kutokana na mahusiano yao hii ikichangiwa na masuala ya dini na hata utayari wa kusaidiana pale mmoja anapokuwa na nafasi ya kumsaidia mwenzake tofauti na wabongo,kwa ushauri wako hapo juu nafikiri ni wakati muafaka kuwashawishi wajasiliamali/wafanyabishara kuandaa warithi wa biashara zao au kuwafundisha taratibu watoto wao biashara zao.
   
 10. Penguin-1

  Penguin-1 JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Message Sent to my Dad....

   
Loading...