Hao matapeli wanaumiza sana watu
Jana nimekutana na mzee mmoja mstaafu wamempiga laki 8 yake, akapiga kuwaomba wamrudishie ana shida nayo sana.
Wakajibu eti atume na laki moja ndio watamrudishia hiyo 8k!
Nilijiskia vibaya namna mzee yule alipokuwa analalamika.. Najua hamtoamini
Nilimkabidhi yule mzee 8k.!