T tag New Member Joined May 30, 2017 Posts 1 Reaction score 0 Jul 15, 2017 #1 Habari za muda huu,Kwa anayejua tarehe za kuripoti vituoni kwa walimu waliopangiwa vituo wiki hii anijulishe,nimejaribu kutafuta tangazo tamisemi sijaliona.
Habari za muda huu,Kwa anayejua tarehe za kuripoti vituoni kwa walimu waliopangiwa vituo wiki hii anijulishe,nimejaribu kutafuta tangazo tamisemi sijaliona.
Good Father JF-Expert Member Joined Feb 28, 2014 Posts 10,320 Reaction score 18,599 Jul 15, 2017 #2 Wiki hii kuna watu wamepangiwa vituo wiki hii? Hizo ajira walitangaza lini au ndo zile za walimu wa sayansi na hisabati zilizotolewa kipindi cha nyuma Nothing is easier than blaming others for your own problems
Wiki hii kuna watu wamepangiwa vituo wiki hii? Hizo ajira walitangaza lini au ndo zile za walimu wa sayansi na hisabati zilizotolewa kipindi cha nyuma Nothing is easier than blaming others for your own problems