hata usijali hata mimi ilikuwa hivyo..hawawezi kukuita kama hawana pesa ya kujikimu ya kukupa na hawajakuingiza katika Lawson uweze kupata mshahara. kama inawezekana tafuta namba zao wapigie waulize uoate uhakika zaidi ya kinachoendelea. hongera kwa kupata kazi..karibu utumishi wa umma ila ni kugumu ni balaaa