Kuringaringa kunavyowaponza mabinti

Kuna ukwl kabxa..wanawake wamezdisha maringo..utafkir hawaend haja..unamsalmia mtu abakunja sura kama anataka kuiweka kweny begi
loh jamani, et hawaendi haja, sasa ndio kusema tena haja zote lazma tuchuchumae?
 
hapa
Labda wanataka akija tu mwanaume binti anakubali
na, una namna unampa mtu nafasi kama yupo serious , si lazma kukubali kila mwanaume wengine wananuka kwapa ila jiangalie umri , mwanamke ukivuka miaka 24 soko lako linazidi kushuka, ukivuka 27 wewe potelea mbali maana miaka 18 mpaka 22 ndio watoto wa chuo IFM , RUCO, UDSM wanawaka balaa na wanataka mwanaume yeyote
 
Ndoa ni baraka ya Mungu ukiikosa pia shukuru, huwezi hukumiwa kwa kilicho nje ya uwezo wako.
 
Ndoa ingekuwa tamu sana wasingeachana ndoa 300 kwa mwaka zinavunjika, ndoa zinazalisha single mama wengi tu waloachika kwa ndoa zao.

Msiwape watu presha kisa ndoa
Hivi single mama si ni yule aliezalishwa bila kuolewa? Maana alieachika huyo ni divorced...
 
Kuolewa ni dream ya kila mwanamke kama ilivyo kwa mwanaume kupata pesa ila wakiwa nyuma ya keyboard wanaponda ila moyoni wanaugulia maumivu ya kutokuolewa na umri unaenda
 
Ndoa ingekuwa tamu sana wasingeachana ndoa 300 kwa mwaka zinavunjika, ndoa zinazalisha single mama wengi tu waloachika kwa ndoa zao.

Msiwape watu presha kisa ndoa
Umeona ndoa tu hapo kwenye hilo bandiko? Vip mahusiano yanayovunjika kabla ya ndoa?
Na ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu watu hawafati msingi na wajibu wao ndan ya ndoa pia wengi wanafunga ndoa na walio tayari kuwaoa/kuolewa nao na sio wanaowapenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…