Babu Marasta
Member
- Nov 2, 2017
- 57
- 91
Kama inchi 6Sentimita 15 inawezakuwa nchi ngapi?
Kama inchi 6Sentimita 15 inawezakuwa nchi ngapi?
Mkuu umetaja kijiji changu cha Ifwagi, nimefurahi sana. Mwakani nitakwenda Ifwagi, Wilayani MufindiHuku kwetu IFWAGI kuna miti ya asili ukiwa na kidudu kidogo unachukuwa tawi moja la kwenye mti huo unachanjia kwenye sehemu zako kila tawi linapokuwa uume nao unakuwa ikifika inch unayoona Inafaa unaenda kukata kale katawi na hapo haikuwi tena na unakuwa vizuri zaidi ya MANDINGO.