Isotonic JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 2,621 Reaction score 4,031 Jul 27, 2020 #21 Hii ya kurasimisha no ata mwenyewe unaweza ukiwa umelala kazi ndogo sana
Econometrician JF-Expert Member Joined Oct 25, 2013 Posts 17,863 Reaction score 33,592 Jul 27, 2020 #22 Unarasimisha vitu gani,kwani laini zote mtu anasajili kwa kutumia kitambulisho cha NiDA. Mitandao ya simu ipeleke orodha ya wateja wao huko TCRA na namba zao hata ziwe 5.
Unarasimisha vitu gani,kwani laini zote mtu anasajili kwa kutumia kitambulisho cha NiDA. Mitandao ya simu ipeleke orodha ya wateja wao huko TCRA na namba zao hata ziwe 5.