matatizo ya kuwahusisha kwenye mikakati wakina lusinde na usingizi yanaiua ccm faster than we thought,.tambwe hiza is better the two above combined.
Kwa taharifa nilizozipata ni kwamba CCM wana mpango wa kumuandaa Mhasibu wa Chuo cha SAUT ambaye amesoma kozi ya ADA hapohapo chuoni na kupatiwa ajira pia ili kupambana na Wenje ifikapo 2015 lengo likiwa ni kuzipunguza kura za vijana wa chuo kwenda kwa CDM
My take:
CDM litizameni hili mapema ili 2015 tuchukue tena hilo jimbo
Kwa jinsi wanafunzi wa SAUT tulivyo na kichefuchefu na CCM hata waweke mhadhili watapigwa chini. Isitoshe wahasibu wa SAUT wanachukiwa sana hasa kitendo chao cha kukaa na cheque ya boom muda mrefu. Acha kujipigia kampeni mkuu, hakuna mhasibu ninayemfahamu hapo ana hata chembe ya kuwa mjumbe wa nyumba kumi.
CCM ilienda na Mwl Nyerere, limebaki kama dangulo ambamo wezi,wahuni ,vibaka,wauwaji etc wanajisitiri. Aje tu, wembe gileti upo ,tunageuza upande wa pili anakwanguliwa asubuh na mapema. Huyo jamaa namfahamu,anaitwa Moris Kazmir,alikuwa alikuwa kwnye kinyang'anyiro na akina Masha ndani ya CCM-2010. Namshauri ahame chama kwasababu ndani ya CCM hakuna wanaharakati,wazalendo,wenye hekima na busara ,.wenye nia ya dhati ya kuipigania Tanzania tuitakayo. Awaulize Mwakyembe,Mwandosya na Sitta wanavyo taabika.