ng'adi lawi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 2,956
- 1,114
Mahakama ya rufaa Kenya Leo imeamua kuwa kura za rais ni lazima zitangazwe vituoni kama katiba yao inavyoelekeza. Katiba yetu nayo iwekewe ibara hiyo.
Kama siyo wizi, kwa nini Uhuru anaogopa kutangaza kituoni? stupid africa!Mahakama ya rufaa Kenya Leo imeamua kuwa kura za rais ni lazima zitangazwe vituoni kama katiba yao inavyoelekeza. Katiba yetu nayo iwekewe ibara hiyo.
Hapo tayari Kenyatta Ameshazibitiwa.Kama siyo wizi, kwa nini Uhuru anaogopa kutangaza kituoni? stupid africa!
hiyo ni nzuri lakini pia hata watu huru waruhusiwe kukusanya matokeo na kujumlisha. kile kikundi cha lowasa kilichokusanya na kujumlisha matokeo kilionewa sana kwa kweli.
Yes, alitaka kuiba, unaogopa nini kutangaza kituoni? Unaogopa nini mikutano ya siasa, unaogopa nini watu kukukosoa? Unaogopa nini watu wakisema? (kama hawasemi uongo)Hapo tayari Kenyatta Ameshazibitiwa.
Yes, alitaka kuiba, unaogopa nini kutangaza kituoni? Unaogopa nini mikutano ya siasa, unaogopa nini watu kukukosoa? Unaogopa nini watu wakisema? (kama hawasemi uongo)Kilionewa kivipi?
tusimuonee hakimu au jaji suala ni katiba inasemaje au sheria inasemaje?Kenyans are serious katika mambo mengi..
Hongera nyingi sana kwao.
Hapa na huyu Kaimu Jaji Mkuu ambae hajui hatima yake I doubt kama Mahakama zetu zinaweza kufanya jambo kubwa kama hili.
Yes, alitaka kuiba, unaogopa nini kutangaza kituoni? Unaogopa nini mikutano ya siasa, unaogopa nini watu kukukosoa? Unaogopa nini watu wakisema? (kama hawasemi uongo)
Kichaa huwa hakipigi hodi.Imeandikwa wapi kisheria!?
Na hao unahuakika gani hawakutunga yao!?
Mkitaka sijui hili au lile kwa sasa teknolojia tu ndio itakuwa mkombzi wa kutoa ukweli wa mengi kama ambavyo ingetumika 2015... ingeonyesha JPM alikuwa chaguo la wengi bila wasiwasi.
hiyo ni nzuri lakini pia hata watu huru waruhusiwe kukusanya matokeo na kujumlisha. kile kikundi cha lowasa kilichokusanya na kujumlisha matokeo kilionewa sana kwa kweli.
Hii ikifika hapa kwetu itakomesha ule uchakachuaji wa Tume ya Uchaguzi na watumishi wake ambao kimsingi ni makada wa chama dola. Nadhani vyombo vya habari vitaruhusiwa kutangaza matokeo ya uchaguzi toka vituoni kadiri yatakavyotangazwa na wasimamizi wa vituo hivyo.Mahakama ya rufaa Kenya Leo imeamua kuwa kura za rais ni lazima zitangazwe vituoni kama katiba yao inavyoelekeza. Katiba yetu nayo iwekewe ibara hiyo.
Raila Odinga's joyous response after court ruled against IEBC Read more: Raila Odinga's joyous response after court ruled against IEBCMahakama ya rufaa Kenya Leo imeamua kuwa kura za rais ni lazima zitangazwe vituoni kama katiba yao inavyoelekeza. Katiba yetu nayo iwekewe ibara hiyo.