Kura za maoni ccm zachakachuliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kura za maoni ccm zachakachuliwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tonge, Aug 11, 2010.

 1. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ILE MISEMO YA KISWAHILI ISEMAYO "WA MBILI HAVAI MOJA" NA "HATA UKIOGA NA KUOGA VIZURI HATA MJINI HUENDI" IMEANZA KUJITOKEZA NDANI YA CCM BAADA YA HALMASHAURI ZAKE ZA WILAYA, MIKOA NA TAIFA KUANZA KULALAMIKIWA NA WANACCM KUWA KUNA KUCHAKACHUA KURA ZA MAONI ZA UDIWANI NA UBUNGE ZILIZOPIGWA AGOSTI 1 YAANI KUWABEBA WALISHINDWA NA KUWAANGUSHA WALIOSHINDA.HII IMEJIDHIHILISHA WAZI KUANZIA JANA KWA KITUO KIMOJA CHA TV KUONYESHA WANACCM WAKIANDAMANA HADI OFISI ZA CCM ZA KATA NA WILAYA KUTOA MADUKUDUKU YAO KAMA SI MALALAMIKO NA WENGINE WAMERUDISHA KADI ZAO.

  HIVI HAWA WAUNDA SERIKALI NDIO WANACHAKACHUA KURA WATASHINDWA MAFUTA KWELI NA MAMBO MWINGINE, KWELI VIONGOZI WATAKAO PATIKANA TOKA CCM HAWAFAI KUONGOZA NCHI YETU KWANI WATATUCHAKACHUA WANANCHI NA KUENDELEZA UFISADI WAO.:frusty:

  KUNA USEMI MWINGINE WA WASWAHILI UNASEMA "SAMAKI MMOJA KWENYE TENDA AKIOZA NI WOTE NALITUPWE" SASA "MGOMBEA MMOJA WA CCM AKIOZA KWENYE CHAMA NI WOTE SASA WASICHAGULIWE KABISA WATATUFANYA TUNUKE KAMA WAO WALIOOZA":embarrassed1:

  SHIME WANACNHI TUFUNGUE MACHO NA MASIKIO YETU, TUSIFANYE KOSA LA KUCHAGUA WANACCM/WAGOMBEA WALIOOZA TUCHAGUE WAADILIFU WALIOPITA KWA NJIA YA KIDEMOKRASIA KAMILI KUTOKA VYAMA VINGINE. NI 2010MWISHO WA CCM

  NAWASILISHA.

  KIDUMU CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO(CAHDEMA).:thumb:
   
 2. Lighondi

  Lighondi JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 585
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kidumuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
   
 3. M

  Msharika JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Amen
   
 4. b

  blackpepper JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 382
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  ndo maana kikaitwa CHAMA CHA MAPINDUZI sasa wakipindua matokeo tusishangae
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  alafu walivyo nmahanithi katibu wa wilaaya anaulizwa anasema jamani akuna tatizo hata kamalipo wa mwisho ni nec mbafu kabisa kabisa ni unamfunga jiwe la shingo mtu kama huyu
   
 6. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  vita ya panzi (sisiem) furaha ya...................... chadema!!!!!!!!!!
   
Loading...