wilfred the optimist Member Joined Jul 29, 2015 Posts 10 Reaction score 1 Oct 25, 2015 #81 Acha ujinga wewe unaposema ccm inawanachama rasmi 14,566,000 una uhakika walio na kadi wote watawapigia kura mm nawafahamu watu zaidi ya 100 tuliokua na kadi za ccm lkn tumeshawashia moto tumezitupa kabisa think b4 hujaongea ujinga
Acha ujinga wewe unaposema ccm inawanachama rasmi 14,566,000 una uhakika walio na kadi wote watawapigia kura mm nawafahamu watu zaidi ya 100 tuliokua na kadi za ccm lkn tumeshawashia moto tumezitupa kabisa think b4 hujaongea ujinga
KILITIME JF-Expert Member Joined Nov 17, 2009 Posts 265 Reaction score 18 Oct 25, 2015 #82 mi napita tuu kunya anye kuku akinya bata........
HALELUYA MOSHI JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 2,121 Reaction score 1,211 Oct 25, 2015 #83 Kadi ya ccm ninayo! Kura yangu lowassa! Mlimkata, kidonda chake kilishapona! Sasa sisi tunachinja!
Mfilisti JF-Expert Member Joined Sep 24, 2015 Posts 3,729 Reaction score 19,466 Oct 25, 2015 #84 nimechukua ✌ nikaweka ✔ Lowassa sasa nailinda kura yangu