nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 290
- 237
Wadau nimejikuta nashikwa na hasira nikiwa machinjioni baada ya kumuona mgombea wa chama flani (itakua mnamjua) nkajikuta namtoboa toboa kwa hasira na pen mpka karatasi likatoboka...msifanye makosa kama yangu. .
Ata akishinda c nshamtoboa. .ndio nina iq ndogo ndo maana muheshimiwa katuambia priority yake ni elimu elimuKama umefanya hivyo kweli utakuwa na low IQ,kuwaje ushakaa foleni kisha unafanya kitu cha kijinga kama hicho?we unagombana na karatasi lenye picture ya mgombea yeye kalala nyumbani na mkewe umefikiria kwanza umuhimu wa kura yako,maana hiyo kura yako uliyoiharibu labda ndiyo ingemwingiza mgombea unaemtaka wewe,sasa jiandae kuongozwa tena na huyo ulomtoboa toboa.
Anatania tu, naamini anatoa tahadhari kwa njia hiyo.Hahaha hakika kitendo cha kupiga kura cjui kinakuwaga na nn yaani na elimu yote bado umefanya makosa?unless unatania