Bagumako Yoweli
Member
- Feb 9, 2012
- 58
- 10
Binafsi mimi kwetu ni Kigoma, lakini kwa maslahi ya
Taifa nilazima ZZKanyimwe kura kwasababu ni mbinafsi mno, hana
credibility ya Uongozi,ana hasira na visasi na Umri wake hautoshi kuwa Rais
na kwa tabia yake ya kutengeneza makundi(rejea : kuhama kwa Kafulila na matusi
ya H.Mchange kumtukana Slaa kwa kumwita kazee) atakuwa kama JK.
Huu upuuzi eti mtu hadi leo anaabudu fikra na maneno ya hayati,kwanini huelezi fikra zako na maneno yako? Nani anajali maneno ya huyo!tunaka fikra mpya zilizo hai sio fikra za walio makaburini.Jamani, Nyerere aliwahi kusema; Kiongozi wa kweli huwa hakimbilii ikulu. Anakimbilia nini huko??? Ikulu ni mzigo mzito.
1. Zitto anakimbilia pamoja na kufahamu kuwa katika haimpi nafasi. Ana maslahi gani nako???
2. Slaa hajawahi kuitaka nafasi hiyo by his own. Amefuatwa na walioona kipaji chake cha uongozi pamoja na ubunifu wa mipango ya namna anavyoweza kuiinua Tanzania kutoka katika lindi la umasikini wa watu ndani ya utajiri uliopindukia
Tazama kwa jicho halisia utamwona Slaa kuwa juu mno ya wengine. Ndo mwasisi wa jicho kali linalolilia maslahi ya mtanzania.
I think something is wrong somewhere.Huu upuuzi eti mtu hadi leo anaabudu fikra na maneno ya hayati,kwanini huelezi fikra zako na maneno yako? Nani anajali maneno ya huyo!tunaka fikra mpya zilizo hai sio fikra za walio makaburini.
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
Huu upuuzi eti mtu hadi leo anaabudu fikra na maneno ya hayati,kwanini huelezi fikra zako na maneno yako? Nani anajali maneno ya huyo!tunaka fikra mpya zilizo hai sio fikra za walio makaburini.
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
sababu za kutokumchagua slaa dk.
1.Ni PADRE ss waislamu hatuna imani nae kwani mlevi haachi pombe hupumzika kwa muda.
2.Katawaliwa na jazba na hana busara hata ya kuombea maji kitu ambacho hapaswi kuanacho kiongozi.
3.Si MTU MAKINI anakurupuka kama (raisi aliye madarakani) akiaambiwa jambo hulileta moja kwa moja kwa waananchi bila ya kulitathmini juu ya ukweli wake.
4.Hana nia ya kweli ya kuwakomboa wananchi wa tanzania ndio maana alipotakiwa kugombea urais aliweka sharti la iwapo angeukosa uarais basi alipwe mshahara wa ubunge amabao atakua ameukosa.
Nahisi sababu yako ya kwanza inamaanisha utamchagua Zito kwa kuwa tu ni muislamu na hawezi kuacha uislamu hata kama hana sifa ya kuwa raisi.
Kumbuka hatuchagui kiongozs wa ibada hivyo suala la dini ya mtu ningeshauri lisipewe kipaumbele