Raheem Nur
Member
- Jun 20, 2012
- 10
- 1
zitto atapata kura nyingi akigombea urais kuliko slaa,Slaa ni mzee kwa sasa.
hii mbinu ni chafu sana katika mstakabali wa siasa za hapa bongo. Acheni kudivert attention ya watu kwa kile wanachotakiwa kufanya ili kuikomboa nchi toka kwenye makucha ya wanyonyaji wa chama cha magamba. Kama kweli watu wana akili waache kumjadili dr slaa dhidi ya zzk. Ukiangalia hata itifaki ya kuandika majina utajua tu kuwa huyu ni mpenzi wa zzk kuliko dr. Slaa ambaye kwakweli amekipaisha chama katika anga za bongo. Tukumbuke mwalimu alitukataza kujadili. Tujadili falsafa , mustakabali wa taifa ndipo tufikirie ni nani atatufikisha kule tunakotaka, tujadili issue then tuone nani anaqualify kuchukua unahodha. Sioni kitu hapa watu wanajadili uislamu na ukristo tuzitto angekuwa mchaga angeshinda kwa kura za hapa. Ila kiuhalisia, zitto anaweza kupata kura nyingi za ccm na chadema. Babu yetu, slaa atapata za chadema tu. Tatizo hapa uzee wake tu...