Kura ya maoni Ipigwe Zanzibar!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Nashauri kura ya maoni ipigwe kwa wananchi wa Zanzibar kuhusu hatima ya Kisiwa chao, yaani kama wanataka kubakia kwenye Muungano au la, na maamuzi yao yaheshimiwe, hili lifanyijke ili tutatue hilo jambo mara moja na kuangalia mambo mengine !
Hili ndiyo suluhisho pekee na la kudumu huko Zanzibar!
 
Kweli ukitaka ujue kama Tanzania ni nchi ya kidiplomasia, subiria litokee jambo linalohatarisha maslahi ya CCM.
Rejea Uchaguzi wa Zanzibar na uchaguzi wa mameya huko Dar.
 
Kwanza Kura zimaliziwe kuhesabiwa mshindi atangazwe kisha aapishwe ndio mengine yafuate
 
Mkuu tumezikosa tirioni 1.3 shilings wala hatushituki duuu.
 
Kwanza Kura zimaliziwe kuhesabiwa mshindi atangazwe kisha aapishwe ndio mengine yafuate

Well said mkuu, Uchaguzi mkuu uliopo mkononi tu bado unamgogoro wanataka kuongeza matatizo mengine ili kupoteza lengo.
Wasitutoe kwenye hoja ya msingi.

Hilo la kura ya maoni huenda likawa na maana lakini kwa sasa tumalize uchaguzi wetu, mbona kwenye mapendekezo ya tume watu walitoa maoni yao kuhusu muungano na wakayapuuzilia mbali.
 
Nashauri kura ya maoni ipigwe kwa wananchi wa Zanzibar kuhusu hatima ya Kisiwa chao, yaani kama wanataka kubakia kwenye Muungano au la, na maamuzi yao yaheshimiwe, hili lifanyijke ili tutatue hilo jambo mara moja na kuangalia mambo mengine !
Hili ndiyo suluhisho pekee na la kudumu huko Zanzibar!
Halafu tume gani isimamie hayo maoni...maana tatizo sio maoni bali ni msoma maoni...
 
Kwa unavowaangalia wale na kisiwa chao wao wenyewe wanabaguana.. Muungano ukivunjika jua wao kuzenguana mhm
 
Ondoa shaka mtoa pist,kwa sasa atangazwe kwanza maalim kisha hilo jambo litafuata.
 
Nashauri kura ya maoni ipigwe kwa wananchi wa Zanzibar kuhusu hatima ya Kisiwa chao, yaani kama wanataka kubakia kwenye Muungano au la, na maamuzi yao yaheshimiwe, hili lifanyijke ili tutatue hilo jambo mara moja na kuangalia mambo mengine !
Hili ndiyo suluhisho pekee na la kudumu huko Zanzibar!
Mkuu Leo umeleta Uzi wenye akili, ila subiri kwanza mshindi maalimu Seif atangazwe
 
Kura ya maoni ya nini tena?
Swala la msingi ni kukamilisha kiporo alichokiacha Jecha cha kutangaza matokeo yaliyokuwa yamesalia ya majimbo 23 yaliyokuwa hayajakamliishwa kutangazwa na hatimaye atangazwe mshindi aliyeshinda Urais kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 mwaka jana.
 
Nashauri kura ya maoni ipigwe kwa wananchi wa Zanzibar kuhusu hatima ya Kisiwa chao, yaani kama wanataka kubakia kwenye Muungano au la, na maamuzi yao yaheshimiwe, hili lifanyijke ili tutatue hilo jambo mara moja na kuangalia mambo mengine !
Hili ndiyo suluhisho pekee na la kudumu huko Zanzibar!
Tatizo la znz ni ubaguzi, na kujiona wengine si wenye haki na nchi yao kura ya maoni yapi huku ushindi ni dhahiri. Ikichakachuliwa kama mnavyo ngangania, ni tatizo la ubaguzi
 
Nashauri kura ya maoni ipigwe kwa wananchi wa Zanzibar kuhusu hatima ya Kisiwa chao, yaani kama wanataka kubakia kwenye Muungano au la, na maamuzi yao yaheshimiwe, hili lifanyijke ili tutatue hilo jambo mara moja na kuangalia mambo mengine !
Hili ndiyo suluhisho pekee na la kudumu huko Zanzibar!

Nani kakuambia tatizo la Zanzibar ni muungano? Acha kuwalisha maneno.
 
Zitachezwa tiktak nyingi ili kupoteza lengo lakini Sidhani Kama watafanikiwa
Safari hii hao maccm wameshikwa pabaya.
Hiyo timing ambayo Maalim Seif aliyowafanyia hao maccm kwa kufunga goli la ushindi alipotangaza mwelekeo wa matokeo ya Urais ile tarehe 26/10/206, ilikuwa bonge la surprise kwa maccm.
Kwa kuwa wakati Maalim Seif akiwashtukiza wanaccm kwa 'data' zake za matokeo yote ya uchaguzi ya Unguja na Pemba, maccm yote macho na masikio yao yalikuwa yamejikita katika kuhakikisha wanamfunga Edo goli la mkono.
Hata hivyo wakati huku Bara maccm wakiwa wanashangilia kwa ushindi wao wa goli la mkono la Nape, wakashikwa na mshtuko mkubwa kukuta mwenzao Maalim Seif naye keshafunga goli 'clean' lillompa ushindi kule Zanzibar.
Kwa hiyo maccm wakalazimika kumtumia 'refa' wao Jecha, kulikataa goli safi kabisa alilofunga Maalim Seif na wakati huo huo kupuliza kipenga cha mwisho kuumaliza mchezo!
 
Back
Top Bottom