Kura ya hapana yaibua mjadala upitishaji bajeti ya Serikali

Huyu mzee amechoka mapema sana
 
Ndugai na CCM wenzake wanapaswa kujua kuwa hizo fedha hawazileti kama fadhila bali ni Jukumu lao..


Kama hawatuletei fedha na kodi wasitukate tena
 
Wabunge wa ccm majimbo yao mengi hayapelekewi pesa ila wanaongoza kwa kura za ndioo...
 
Chakushangaza wanaosema hapana majimbo yao yanaongoza kwa maendeleo, mm ningekuwa mbunge wa ccm ningeungana kusema hapana ili jimbo lipate maendeleo kama la wapinzani
 
Ndugai ukimwi umeanzia kichwani mwake
 

Demokrasia ni uhuru wa kusema ndiyo au hapana. Kama watu hawana uhuru wa kusema hapana kwa kutishiwa kunyimwa fedha za maendeleo then this is going back to monolithic party system. This is a new development maana hata wakati wa Nyerere mfano kulikuwa na kura ya ndiyo na hapana na hatukuwa tumesikia kwamba wanaopiga kura ya hapana wanyimwe fedha za maendeleo. Ni developments mpya kabisa Tanzania!!!
 
kama ni hivo tunaomba serikali isikusanye kodi majimbo ya wapinzani na kule ambako ccm ilikataliwa na wananchi. upinzani tatizo wsmekuwa wapole mno.
 
Yule ni mbunge wa mtwara mjini ambaye anamspoti lipumba kwahiyo alifanya kwa maana. Nilitegemea hata kwa mama wa jimbo la kaliua Magdalena sakaya angesema ndio kwa bahati mbaya hakuwepo.
Unaona mnavyokurupuka na kuchangia kwa mihemko. Magdalena Sakaya alichelewa kuingia Bungeni. Baadae alipata nafasi ya kupiga kura, na alipiga KURA ya NDIO.
 
Ndugai amekosa sifa ya kuwa Spika. Hayuko balanced, anaendekeza ushabiki wa chama chake kuliko kusimamia kanuni.
Eti anataka wapinzani waiunge mkono bajeti, hiyo ndiyo kazi yake?
Spika badala ya kuliongoza Bunge kuisimamia serikali amegeuka kuwa msemaji wa serikali. Its very unfortunate
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…