Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!Kwa kweli tumuombe mungu sisi tuliokuwa hai kwa sasa hapa Tanzania tufe wote. Alafu mungu alete watu wengine kulikomboa taifa hili c vinginevyo
Huyu mzee amechoka mapema sanaKauli ya Spika wa Bunge, Job Ndugai kwamba waliopiga kura ya hapana wakati wa kupitisha bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/18 wasipatiwe fedha na mawaziri kwa ajili ya miradi imeibua mjadala bungeni.
Aliyeanza kuhoji kuhusu kauli hiyo leo (Jumanne) ni Joseph Mbilinyi maarufu Sugu aliyetaka mwongozo wa spika kuhusu kauli yake.
James Mbatia, amesema ni bora kufanyike mabadiliko ya Katiba ili kuwe na chama kimoja kama Bunge haliruhusu mawazo tofauti.
David Silinde amesema kauli zinazotolewa zinaweza kulipasua Taifa, hivyo kuwataka wabunge kutojenga Taifa ambalo wanaweza kulipasua wenyewe.
Mchungaji Peter Msigwa amesema wapinzani hawako bungeni kwa bahati mbaya na kwamba waliowachagua wanajua misimamo yao, hivyo wanapopiga kura ya hapana si kwamba Serikali ipeleke fedha kama hisani kwa kuwa ni fedha za walipa kodi.
Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene amesema dunia imebadilika na kwamba zamani bajeti haikuwa shirikishi lakini sasa wabunge wanashirikishwa tangu mipango na maoni ya pande zote huchukuliwa kwa hiyo inashangaza kukataa.
Spika amesema upinzani si wa kusema hapana kwa kila jambo hata pale unaposhiriki na kwamba, unaposema sitaki halafu ukamfuata waziri kwa ajili ya fedha za miradi ataangalia akusaidie vipi. Amesema hapo baadaye itabidi kuangalia namna ya kufanya
Mkuu inaonekana umechafukwa mpaka lugha haielewekiKamKama ma hakuna kusema hapana basi wafute huo mfumo!
Ndugai ukimwi umeanzia kichwani mwakeKauli ya Spika wa Bunge, Job Ndugai kwamba waliopiga kura ya hapana wakati wa kupitisha bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/18 wasipatiwe fedha na mawaziri kwa ajili ya miradi imeibua mjadala bungeni.
Aliyeanza kuhoji kuhusu kauli hiyo leo (Jumanne) ni Joseph Mbilinyi maarufu Sugu aliyetaka mwongozo wa spika kuhusu kauli yake.
James Mbatia, amesema ni bora kufanyike mabadiliko ya Katiba ili kuwe na chama kimoja kama Bunge haliruhusu mawazo tofauti.
David Silinde amesema kauli zinazotolewa zinaweza kulipasua Taifa, hivyo kuwataka wabunge kutojenga Taifa ambalo wanaweza kulipasua wenyewe.
Mchungaji Peter Msigwa amesema wapinzani hawako bungeni kwa bahati mbaya na kwamba waliowachagua wanajua misimamo yao, hivyo wanapopiga kura ya hapana si kwamba Serikali ipeleke fedha kama hisani kwa kuwa ni fedha za walipa kodi.
Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene amesema dunia imebadilika na kwamba zamani bajeti haikuwa shirikishi lakini sasa wabunge wanashirikishwa tangu mipango na maoni ya pande zote huchukuliwa kwa hiyo inashangaza kukataa.
Spika amesema upinzani si wa kusema hapana kwa kila jambo hata pale unaposhiriki na kwamba, unaposema sitaki halafu ukamfuata waziri kwa ajili ya fedha za miradi ataangalia akusaidie vipi. Amesema hapo baadaye itabidi kuangalia namna ya kufanya
Siyo uzee aisee inawezekana ni ugonjwa; inawezekana hajapona vizuri. Tumwombee Mungu amponye labda ndo uwezo wake wa kufikiri utarejea!Huyu mzee amechoka mapema sana
Kauli ya Spika wa Bunge, Job Ndugai kwamba waliopiga kura ya hapana wakati wa kupitisha bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/18 wasipatiwe fedha na mawaziri kwa ajili ya miradi imeibua mjadala bungeni.
Aliyeanza kuhoji kuhusu kauli hiyo leo (Jumanne) ni Joseph Mbilinyi maarufu Sugu aliyetaka mwongozo wa spika kuhusu kauli yake.
James Mbatia, amesema ni bora kufanyike mabadiliko ya Katiba ili kuwe na chama kimoja kama Bunge haliruhusu mawazo tofauti.
David Silinde amesema kauli zinazotolewa zinaweza kulipasua Taifa, hivyo kuwataka wabunge kutojenga Taifa ambalo wanaweza kulipasua wenyewe.
Mchungaji Peter Msigwa amesema wapinzani hawako bungeni kwa bahati mbaya na kwamba waliowachagua wanajua misimamo yao, hivyo wanapopiga kura ya hapana si kwamba Serikali ipeleke fedha kama hisani kwa kuwa ni fedha za walipa kodi.
Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene amesema dunia imebadilika na kwamba zamani bajeti haikuwa shirikishi lakini sasa wabunge wanashirikishwa tangu mipango na maoni ya pande zote huchukuliwa kwa hiyo inashangaza kukataa.
Spika amesema upinzani si wa kusema hapana kwa kila jambo hata pale unaposhiriki na kwamba, unaposema sitaki halafu ukamfuata waziri kwa ajili ya fedha za miradi ataangalia akusaidie vipi. Amesema hapo baadaye itabidi kuangalia namna ya kufanya
Unaona mnavyokurupuka na kuchangia kwa mihemko. Magdalena Sakaya alichelewa kuingia Bungeni. Baadae alipata nafasi ya kupiga kura, na alipiga KURA ya NDIO.Yule ni mbunge wa mtwara mjini ambaye anamspoti lipumba kwahiyo alifanya kwa maana. Nilitegemea hata kwa mama wa jimbo la kaliua Magdalena sakaya angesema ndio kwa bahati mbaya hakuwepo.
Ndugai apumzike uspika[/kuwa na kiongozi wa bunge anayechochea mgawanyiko wa kitaifa kiitikadi ni hatari sana.
Mkuu Kiswahili tuIam in living in very stupid times.