Kweli akili huna Mzee Sitta basi hata macho ya kuonea huna!!!? Hujui ya kwamba mtu akiwepo kwenye Ibada haruhusiwi kujishughulisha na chochote nje ya Ibada, hasa mambo haya ya kilimwengu? Huo Muda wa kupiga kura utaupata saa ngapi ilhali ibada ya Hijja ikianza haikusubiri ww ukapige kura. Kama hujui basi hata kuuliza unashindwa?? Ww hujui na kuuliza hutaki, huu wako ni Ujinga Mzee una Zeeka vibaya, Unakurupuka tuu Mzee wa watu.
Nadhani ni Muhimu kucheck afya ya akili yako.