Kupunguza tatizo la usaliti

yenyewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
621
Reaction score
94
Habari wana MMU? Mi ni member mpya nategemea mtanipokea vzr. Nimekuja na swali ili niweze kupata maoni yenu na tuweze kuwasaidia pia wale walio kwenye uhusiano wa mbali. Hivi ni kweli kwamba wapenz kuweka picha walizopiga pamoja kwenye mitandao ya kijamii kama fb, JF, na wakati mwingine kuzifanya profile picture na kujitangaza pia kwenye mitandao hii husaidia kupunguza usaliti hasa kwa wapenz walio mbali (long distance relationship)?
 
Pole sana yenyewe huhitaji kujitambulisha kama wewe ni member mpya au wa zamani post zako zitaongea yote
 
cku hizi iyo mbinu haisaidii!! Maana hata mtu akijua kama mkaka /mdada yupo ndani ya ndoa atataka hata mapenz ya siri na mtu anaemfaham vizur tu ! swala la usaliti hutokea kama mhusika hajieshimu na si mwaminifu katika mahusiano.
 
Maybe haisaidii..bt atlist inaleta utofauti kati yako wewe Wa halali na hao vimeo wengne wanaofanya kisiri..pia kama mnajiheshimu inasaidia kuongeza hadhi yenu ya mahusiano katka jamii.
 
Hiyo haisaidi kabisa watu wanaacha mpaka nguo za ndani magetoni lakini usaliti uko palepale sembuse picha?
 
Kuweka mipicha ya mpenzi wako kwenye mitandao ya kijamii wakati hapo hapo una kazi za nje kama kumi
mi huwa naona ni wizi wa mtandaoni kama wizi unaofanywa na wanaijeria tu.
 
Karibu mkuu.

Sidhani kama kuweka hizo picha kunasaidia kwani tabia hukaa moyoni mwa mtu na ni vigumu kuiua iwapo mhusika anaipenda.
 
Atleast inasaidia coz vimeo wengne wa nje watapungua japo hawataisha aisee...
 
Hamna ki2 apo.nw days watu wanakubaliana 2.unawez kuta m2 yupo kifuani kwa mwingne and akipigiwa cmu na mpenzi wake anaongea as if yupo yupo usingizi yan ful madeko.Hapo anayeiba utakuta anachezea chezea cmu yake kuzuga 2..kidigital zaidi..Uaminifu ndiy unaohtajika
 
We mgeni noma sana hata hauja karibishwa umesha kuja na swali..
Haya mgeni kaja na swali wenyeji tu jadili!!!
 
Haisaidii hivyo ni vitabia tu vya mtu. Halafu sio kila mtu anaingia social networks na zaidi waweza kuwa na accounts nyingi kwa malengo tofauti.
 


Kwa hiyo hilo swali ama jibu au maelezo. Cha msingi lete mada zenye pini kali ,siyo utangazaji humu ndan vichwa vya moto .uuusilete mada feke tulioko humu tuko zaidi ya fake.



KARIBU SANA MKUU USIOGOPE
 
Nyoka ni nyoka hata ukimpeleka nyumbani, kuna siku atakimbia arudi kichakani. Kwa hiyo msaliti hana maamuzi sahihi ya anachokifanya it just happen unconditionally
 
cku hizi iyo mbinu haisaidii!! Maana hata mtu akijua kama mkaka /mdada yupo ndani ya ndoa atataka hata mapenz ya siri na mtu anaemfaham vizur tu ! swala la usaliti hutokea kama mhusika hajieshimu na si mwaminifu katika mahusiano.
kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…