kupunguza mawasiliana

kupunguza mawasiliana

kisenya

Member
Joined
Aug 7, 2012
Posts
6
Reaction score
4
kupunguza mawasiliano ni chanzo cha usaliti baina ya mwanamke na mme nsaidien wadau
 
Tukusaidie kwa lipi,hujaeleweka

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mawasiliano yapi? kuna mapenzi katika ndoa, kuna mapenzi ya ujana, n.k? Someka basi please!
 
kupunguza mawasiliano ni chanzo cha usaliti baina ya mwanamke na mme nsaidien wadau

Msaada unaoutafuta sijui hata unaupataje kwa mfano

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ni ukweli kabisa. Mawasiliano ndo nguzo ya mahusiano. Mawasiliano yakiwa hafifu ni rahisi kuwa distracted.
 
Ni ukweli kabisa.
Mawasiliano ndo nguzo ya mahusiano. Mawasiliano yakiwa hafifu ni rahisi
kuwa distracted.

duh ww umeelewa topic' wengne bado tunatoa macho tu class na ticha ndo kamaliza pindi ivo hata hatujanote down chochote daftarini tofauti na tarehe....ngoja ning'ate mfuniko wa pen muda usonge.
 
Back
Top Bottom