Google store wanasema kwamba ukiweka paid apps kwa mara ya kwanza unaruhusiwa baadaye kuibadili kuwa free. Ila hairuhusiwi kuiweka app kama free kisha baadaye ukaibadili kuwa ya kulipia.Wanasema pia unaweza kuweka app yako kwa kuiuza $0 temporary na baadaye ukaongeza bei. So inakuwa kama free lakini utaruhusiwa kuongeza bei baadaye.
Nimeona nyingi zinazouza kwa $0 zinauza kwa siku 1,2 hadi 7. Je kuna kikomo cha muda unachoweza kuuza app yako kwa $0?. unaweza kuuza app yako $0 kwa miezi sita?. naombeni msaada wakuu.