Not trueNa habar kwamba ukiwa chini ya GPA ya 2 wanauchukua mkopo wao, ni kweli mkuu?
Kuna sababu kadhaa zinazoweza kumfanya mwanafunzi kupoteza Mkopo.Inakuaje wakuu, hv ni vitu gani vinavyoweza kumfanya mwanafunz wa elimu ya juu kupoteza mkopo wake? Je ni GPA ndogo au?
Majibu yetu fadhar
mkopo uaendelea kuupata wakati wote ispokuwa uki disco, binafsi ndivyo ninavyojuaYani kunyanganywa ukishindwa kutimiza vigezo vyao
GPA ikiwa chini ya 2 mkopo wana sitisha na usipo sign Ada bila sababu ya msingi wana sitisha mkopo na ukipata disco pia mkopo wana sitisha mkopoNot true
Sasa mkuu we ukichaguliwa chuo hali ya kuwa umepata mkopo cha msingi ni kupiga kitabu vzur kwa ufasaha... hayo mambo ya GPA 2 wala hayatakukutaNmeskia kwamba kuna vigezo mbavyo mwanafunz usipotimiza mkopo wako wanachukua
GPA ikiwa chini ya 2 mkopo wana sitisha na usipo sign Ada bila sababu ya msingi wana sitisha mkopo na ukipata disco pia mkopo wana sitisha mkopo
PamojaKuna sababu kadhaa zinazoweza kumfanya mwanafunzi kupoteza Mkopo.
Zifuatazo ni baadhi;
1. Kufeli masomo yake, yaani discontinued due to performance.
2. Kufukuzwa Chuo kwa makosa ya kinidhamu.
3. Kutosaini fedha (ada na accommodations)
4. HESLB kutambua kuwa taarifa ulizotoq siyo sahihi.
5. Kuomba kukatisha Mkopo.
GPA pia ni moja, lakini hata uwe na GPA ndogo, Mkopo hutaupoteza moja kwa moja. Badala yake, kiasi cha malipo ya ada kitapunguzwa.