Wakuu naomba msaad kama mtu anafahamu taratibu za kufuata baada ya kupoteza academic certificate ya form four na inahitajika original kwenye registration chuon first year
Msaada tafadhali
Usitumie lugha chafu

wimbi la upotevu wa vyeti limekuwa kubwa baada ya uhakiki wa vyeti hivyo hivyo,wizarani nenda lakini uende na living,result slip,id ukumbuke index number maybe utapata msaada!

details ni zako kwa nn wasikupe cheti kingine wakat kimepotea?ila pia lazima uwe na loss report,utatangaza gazeti la serikali then other steps will follow!