Kupotelewa na vyeti

mumak

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
1,069
Reaction score
670
Kamakichwa cha habar kinavyosomeka, kunandugu yangu amepotelewa na bahasha yenyevyeti ndaniyake,vyeti hivyo ni vya form four, cheti cha kuzaliwa, result slip ya diploma ya ualimu na living yale, na cheti cha Form six,kama kunamsamalia mwema ameokota, tunaomba, tuwasiliane hata inbox au apeleke kituo cha polisi, maeneo anayohisi kupotezea ni tanga, na daresalaam, zawadi itatorewa kwa aliyeviona, natanguliza shukran na mungu awabariki wote,
 
Mbona hujaandika jina la huyo aliepotelewa
 
 
Wewe una matatizo kama aliyepotelewa vyeti, unategemea sisi tuote jina lake?
 
Jina la awali la vyeti limeanza na musa.kama kunamtu ameviona tuwasiriane,
 
sasa ww vyeti vimepotea namba za simu hakuna jina hakuna sasa watu wataota
 

0712504544
 
Kutaja jina fully ktk mitandao sio vyema kama mtu ameokota tunaweza kuwasiliana jina la awali sí hilo
 
Niko hapa barabara ya 8 nimeokota kama bahasha Tatu njoo uchague yako.
 
Acha masihara ndugu jina la awali si lipo hapo kama umeviona si vinamajina yataje,
 
Nashukuru nimevipata vyeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…