Kupotelewa na nyaraka mbalimbali; [marudio]

Kupotelewa na nyaraka mbalimbali; [marudio]

Liwengi

Member
Joined
May 15, 2011
Posts
29
Reaction score
7
Watanzania wenzangu.

Mimi kwa jina halisi naitwa Bernard Bruno Mwenda.

Ninapenda kuwajulisha Watanzania wenzangu kuwa, siku ya tarehe 9/11/2013 majira ya saa 12:30 jioni, nikiwa na usafiri wa pikipiki nikitokea Uwanja wa Ndege kwenda Mwenge, nilidondosha begi kutoka katika pikipiki hiyo. Begi hilo nilidondoshea kati ya Ubungo na Mlimani City. Katika begi hilo kulikuwa na vitu vingi vya thamani. Miongoni mwa vitu vilivyokuwemo ni pamoja na nyaraka zangu mbalimbali. Nyaraka zilizokuwemo katika begi hilo ni pamoja na:-



  1. Cheti cha Sekondari 1996
  2. Cheti cha JKT operation Kagera
  3. Cheti cha Polisi [Auxiliary Police] 2002
  4. Kadi ya Pikipiki T513 BZL na Road Licence pamoja na Kadi ya Bima.
  5. Kitambulisho cha Kazi
  6. Kitambulisho cha Uraia
  7. Kitambulisho cha Chuo TPSC
  8. Cheti cha shule ya msingi cha mototo wangu Melinda Mwenda
  9. Kitabu cha Biblia ndani yake kuna namba za simu za mke wangu
  10. Fedha Taslimu Laki moja na tisini elfu
  11. Modem mbili na Flash mbili
  12. Saa aina ya SEICO AUTOMATIC
  13. Na nyaraka nyingine mbalimbali na vyote hivyo vina majina ya Bernard B. Mwenda au Mwenda B B

Tafadhali, anayeweza kuwa na taarifa ya vitu hivyo anipigie simu no0714093091 au 0758227414. Atakayefanikisha kupatikana kwa begi hilo nitaongea naye vizuri; hatakosa maji ya kunywa.

Pia kwa mtu aliyeokota vifaa hivyo, tafadhali asiwe na shaka yoyote, anaweza kuchukua vyoye anavyovipenda katika begi hilo ikiwa ni pamoja na pesa, isipokuwa aniachie tu document vyeti vyangu na vitambulisho ambavyo kimsingi hata yeye havitakuwa na faida kwake. Mimi kwa sasa nimekwama sina la kufanya kabisa.

Vifaa hivyo anaweza kuvipeleka kituo chochote cha Polisi au anipigie simu nilizoandika hapo juu.




Mtanzania mwenzenu; Bernard Bruno Mwenda.



 
Dah.
I hope you will get them soon. Brother, let us keep on praying.
 
Back
Top Bottom