Kupotea kwa Titan mwaka 2023

Unavosema imepoteza mawasiliano unamaanisha Nini?Nani alikwambia hicho chombo kina GPS?

Na Nani alikwambia kwamba hawajafika? Kupoteza mawasiliano Kuna husiana Nini na kufika?
 
Nimecheka sana
 
Kuna umuhimu sengoro marine atengeneze nyambizi kama hii awe anakodisha watu tukatalii mabaki ya mv BUKOBA.atapiga pesa maana watapanda akina mo na matajiri wengineo
 

soldier wa Navy popote duniani wanaoijua nyambizi,wakikiangalia kile kidude wanashangaa,inakuwaje mtu afanye jaribio baya vile kwa uhai wake!!!

unaambiwa nyambizi yenyewe kule haifiki[emoji28][emoji28],sasa sijui hawa ndugu zetu walikuwa wanawaza nini!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…