Kupotea kwa samaki aina ya kibua mtaani

Kupotea kwa samaki aina ya kibua mtaani

relis

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Posts
3,429
Reaction score
5,469
Wanajamvi kuna shida gani imejitokeza mpaka kuadimika/kupotea samaki aina ya kibua mtaani maana kama sisi wasela tulizoea ukifika kitaa unaenda ktk duka la samaki unachukua nusu kibua+ugali chumvi nyiiingi,pilipili kwa kachumbali siku inaenda sasa kila tukienda kwenye maduka hayo tunakuta samaki bei 10000 sasa kwa sisi wasela imekuwa kula samaki kama anasa msaada shida iko wapi kwa samaki wetu wapendwa kibua?
 
Jana nilikaa na mtu akawa anaongelea hii kitu
Maana uwezo wetu ulikuwa kibua sasa samaki wa anasa kama sato au jodari kilo 10000 anasa hii tutaiwezea wapi mbona maisha magumu.
 
Tatizo ni kodi iliyo pandishwa kwa waliokuwa wanaingiza samaki kutoka nje hivyo wengine kusitisha kuleta.
 
Wanajamvi kuna shida gani imejitokeza mpaka kuadimika/kupotea samaki aina ya kibua mtaani maana kama sisi wasela tulizoea ukifika kitaa unaenda ktk duka la samaki unachukua nusu kibua+ugali chumvi nyiiingi,pilipili kwa kachumbali siku inaenda sasa kila tukienda kwenye maduka hayo tunakuta samaki bei 10000 sasa kwa sisi wasela imekuwa kula samaki kama anasa msaada shida iko wapi kwa samaki wetu wapendwa kibua?
Vibua walikuwa imported na hali ime change kupata kibali tu cha kuingiza si chini ya milion 8-10 wafanya biashara saizi wanapeleka kongo na rwanda
ila binafsi nilikuwa siwapendi maana wanakaa kwenye contena wiki 6-7 mpaka washuke bandarini
 
Basi tutakula dagaa na siku watakayokuja kutuuliza kwa nini tuna uhaba wa protini huko mahospitalini wajue hili samaki anasa sasa.
 
Naskia wamepigwa marufuku kama mifuko ya plastic...jana ilibidi ninunue sato watoto badala ya kibua,.maana nilimuuliza muuzaji(huwa ananipitishia home) vipi mbona vibua hamna,na mm nawataka hao leo,ndio akanijibu hivyo....aiseee sio siri nimekimisi kibua mimi mihogo yangu ya ftari jana haikudamshi wala nini...
 
Inasemekana wamapigwa marufuku nami kuna sehemu nilikua nanunua kilo moja 6000 siku yasiku nakuta kilo 8000 nikauliza kulikoni nikaambiwa tena hawa ndio wamwisho hatutoleta tena wamapigwa marufuku..kuna wale wakwene mabox walikua cjui wanatoka china nazan pale ndo shida ilipoanzia
 
Vibua walikuwa imported na hali ime change kupata kibali tu cha kuingiza si chini ya milion 8-10 wafanya biashara saizi wanapeleka kongo na rwanda
ila binafsi nilikuwa siwapendi maana wanakaa kwenye contena wiki 6-7 mpaka washuke bandarini
Hv tz wanahitaji ku import samaki jameni??
tuache utani bana
 
Vibua walikuwa imported na hali ime change kupata kibali tu cha kuingiza si chini ya milion 8-10 wafanya biashara saizi wanapeleka kongo na rwanda
ila binafsi nilikuwa siwapendi maana wanakaa kwenye contena wiki 6-7 mpaka washuke bandarini
na bado walikuwa watamu. sasa ukutane na mama kibua ukitoa mtoto wake kibua mwenyeweeeee, eti nini!!!!!!!!!
 
Wanajamvi kuna shida gani imejitokeza mpaka kuadimika/kupotea samaki aina ya kibua mtaani maana kama sisi wasela tulizoea ukifika kitaa unaenda ktk duka la samaki unachukua nusu kibua+ugali chumvi nyiiingi,pilipili kwa kachumbali siku inaenda sasa kila tukienda kwenye maduka hayo tunakuta samaki bei 10000 sasa kwa sisi wasela imekuwa kula samaki kama anasa msaada shida iko wapi kwa samaki wetu wapendwa kibua?
Kaka tumia logic tuu. Hizi mvua na upepo mkali kwanza inafanya idadi ya wavuvi kwenda kuvua huwa ndogo[ukitegemea aina ya vyombo vinavyotumika kwenye uvuvi], pili kipindi hiki sama huwa chini zaidi kutokana na baridi pamoja na mawimbi makali.
 
Back
Top Bottom