Sisi huku hatupati kabisa tumeisahau itv, channel 10 na starwiki chache zilizopita mkoa wa arusha umekua na matatizo katika tv chanels,hasa kwa wale wanaotumia satellite dish zinazochukua kutoka intelsat 64 e,chanel za itv,ch10,na tbc zinapatikana kimanati.decorder ni urembo tu,watu hawaangalii tv za hapa nchini kwa muda.kuna anayefahamu frequency mpya kwa kupitia intelsat 64 e,au arabsat?plz link it hapa ,maana hata website zao zina update za zamani mno
wiki chache zilizopita mkoa wa arusha umekua na matatizo katika tv chanels,hasa kwa wale wanaotumia satellite dish zinazochukua kutoka intelsat 64 e,chanel za itv,ch10,na tbc zinapatikana kimanati.decorder ni urembo tu,watu hawaangalii tv za hapa nchini kwa muda.kuna anayefahamu frequency mpya kwa kupitia intelsat 64 e,au arabsat?plz link it hapa ,maana hata website zao zina update za zamani mno
sasa hiv wanampango wa kubadlisha analog broadcasting system kwenda digital ndo maana kunakuwa na matatzo km hayo, hat hvyo k2 cha msing ni sis kuhama kutoka katka system hii na kuingia digital had kufikia mwaka 2015 wote 2we kwenye digital wapendwa! So hakuna haja ya kulalamika maana ni lazma tu kuondoka kwenye analog broadcasting system! ni hayo tu.

tatizo miundo mbinu yetu bado sana itafikia kipindi watu wa mikoani wata tazama habari za Tanzania kwa kupitia KTN ya kenya
kwavile KTN, KBC, NA Citizen TV zina patikana kwenye Dish la futi 6 kwa kutumia LNB ya KU hivyo basi tujiandae kuzitumi na hizi frequence za kenya unafunga tu LNB yako ya Ku kama vile unavyo shika south africa na kenya ina ingia
PATA FREQUENCY ZA KENYA HAPA PATA FREQUENCY ZA TANZANIA HAPA