Wadau ninaomba msaada Mara nyingi ninakuta kwenye simu application moja au mbili hazionekani wakati niliziinstall kutoka play store Ila ukiingia setting,apps unazikuta zipo tatizo ni nini!

dah we mzee simu yako kila siku ina shida. huenda umezidisable. nenda setting kisha app, halafu bonyeza app ambayo imepotea kisha kama ipo "desable" iweke "enable"