C Cherenganya JF-Expert Member Joined Jan 21, 2018 Posts 2,309 Reaction score 1,787 Jul 26, 2018 #21 CCM kuga mbinu za CHADEMA what the F**CK yaani ni kama CCMIZI KUMUUA TEMBO au NAZI KUVUNJA JIWE
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,081 Reaction score 75,446 Jul 26, 2018 #22 CCM bila ya mbeleko ya NEC, risasi, mabomu na mapanga ni weupe kabisa yaani kipo madarakani kwa mabavu ya dola.
CCM bila ya mbeleko ya NEC, risasi, mabomu na mapanga ni weupe kabisa yaani kipo madarakani kwa mabavu ya dola.
washa JF-Expert Member Joined Oct 8, 2007 Posts 626 Reaction score 370 Jul 26, 2018 #23 Chanyauru said: hivi chadema bado ipo? chama lilishajifia hilo Click to expand... Ukitaka kujua kama chadema bado IPO au imekufa, mwambie mwenyekiti wenu aruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya upinzani japo kwa wiki mbili tu!.......
Chanyauru said: hivi chadema bado ipo? chama lilishajifia hilo Click to expand... Ukitaka kujua kama chadema bado IPO au imekufa, mwambie mwenyekiti wenu aruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya upinzani japo kwa wiki mbili tu!.......
M mliberali JF-Expert Member Joined Jul 13, 2012 Posts 12,344 Reaction score 15,276 Jul 26, 2018 #24 Dan Muhina said: Napata shida kidogo kwenye post hii! Madiwani wanaohama kila siku Chadema na kwenda CCM kila uchao kisha CCM ife? Click to expand... Wanaenda kuchua hela tu. Hakuna MTU mwenye akili anaipenda ccm
Dan Muhina said: Napata shida kidogo kwenye post hii! Madiwani wanaohama kila siku Chadema na kwenda CCM kila uchao kisha CCM ife? Click to expand... Wanaenda kuchua hela tu. Hakuna MTU mwenye akili anaipenda ccm
Turnkey JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 7,358 Reaction score 5,845 Jul 26, 2018 #25 UCD said: Kwa hiyo Chadema ina viongozi wanaoweza kununulika kirahisi hivyo?? Then tukiwapa nchi wataiuza kwa mabeberu wa kizungu!! Click to expand... wanauliwa ..alafu unajifanya hujui ..unafikiria wanapenda
UCD said: Kwa hiyo Chadema ina viongozi wanaoweza kununulika kirahisi hivyo?? Then tukiwapa nchi wataiuza kwa mabeberu wa kizungu!! Click to expand... wanauliwa ..alafu unajifanya hujui ..unafikiria wanapenda