W E W E N I T A P E R IHakuna Maradhi yasiyokuwa na Dawa yake Mkuu. Nimeshamtibu mimi mgonjwa wa Ukimwi yupo mjini mbeya mwaka jana na amepona kabisa.Amesha kwenda Hospitali zaidi 4 mjini mbeya na amepim zaidi ya mara 4 amekutwa yupo na HIV Negative.nilisha kuweka namb ayake ya simu humu jamvini akawa watu wanampigia simu kila siku zaidi ya Watu 50 wanamuhoji maswali mpaka akasema basi Dr.Mzizimkavu usiwape watu anamba yangu ya simu inatosha nimesha choka kuhojiwa na watu wengi kwa siku moja. Nakuna wagonjwa wengine ninao watibu mmoja yupo mjini Dar na mwengine yupo mjini Arusha na halizao zinakwenda vizuri hawatumii dawa za kuongeza umri aka ARV wanatumia dawa zangu za asili.
Angalia upuuzi wako hapa then unasema wewe ni mtu mzima...mtu mzima hawezi kuandika maneno ya kipuuzi kama hayoKama mimi ni tapeli nilimtapeli mkeo nikamtibia na akapona unayo habari hiyoı?
Kiongozi we endelea tu maana nimeshatoa hints na watu wamejadili kama ulivyojioneaMleta mada usisahau kutupa mrejesho wa utafiti wako na sie tunaendelea
Mkuu Hakuna dawa ya kutibu Ugonjwa wa ukimwi Ma-hospitalini . Lakini kwa dawa za kienyeji aka Dawa za Mitishamba Ukimwi unatibika.retrovirus no.3 human immunodefficiency virus has no specific treatmets at all
[emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe unamjua yesu?? Acha unafiki mm nakujua vizuri sana huna nasaba na yesu
Mm hz za hosp ndonmimesikia mwaka huu ma sio dawa rasmi ni kulazimisha matumizi. Ni kama vile kuchukua indocede dawa ya mifupa ukamtega panya naye akafaDawa zipo mbona, ila mitishamba, matunda na duaa,
Kwa hospitali sijawahi sikia.
Huyu jamaa eti anatishia watu wanasheriaKweli sasa nimeamini kuna TAPELI moja huku JF, tena tapeli kweli.. Daaah! Matusi makubwa namna ile! Moderator Maxence Melo Invisible hebu njooni kwenye huu uzi muone haya matausi ya mama zetu, kwa huyu mtu anaejiita anatibu ukimwi..
[emoji85] [emoji85] kumbe wewe ni baba eee?Je mimi kuitwa Tapeli unafurahi kwa mfano wewe utafurahi wewe baba yako mzazi kuitwa Tapeli ? Kuwa na adabu na heshima katika kuzungumza. Kama huna kitu cha kuzungumza bora unyamaze kimya.
Ananyongo na yeye atii au amepata secretarynahisi leo simu ya mkuu kuna mtu anaichezea, sijawahi kuona.
Hahaha leo umeamuaWewe unamjua yesu?? Acha unafiki mm nakujua vizuri sana huna nasaba na yesu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jmi ss huko ni kukosa uelewa ndg yangu so ungefurahi nikipost mawazo yako?? Afterall hakuna aliyekulazimisha kuchangia.nimejitahidi kuweka historia nadhani umekua mvivu kusoma tangu mwanzo. Jiongeze mkuuSema unao na unafanya utafiti. Lkn kwa uhakika hakuna dawa ya kuponya umalaya.
Ila za kubunibuni coz they are not specific.. Si ndio?retrovirus no.3 human immunodefficiency virus has no specific treatmets at all
Tulia mods wamelalaKweli sasa nimeamini kuna TAPELI moja huku JF, tena tapeli kweli.. Daaah! Matusi makubwa namna ile! Moderator Maxence Melo Invisible hebu njooni kwenye huu uzi muone haya matausi ya mama zetu, kwa huyu mtu anaejiita anatibu ukimwi..
Huyu mzee amepatikanika hawezi kuleta upuuzi wake hapa then tukamnyamazia tunataka uthibitisho usio na shaka kuwa ametibu ukimwi otherwise afunguliwe mashtaka ya public defamation kuna watu wanasoma miaka na wanasayansi kila siku wanafanya tafiti ya kugundua dawa ya UKIMWI then from no where huyh tapeli anataka kutuaminisha he can cure HIV\AIDS....patheticKweli sasa nimeamini kuna TAPELI moja huku JF, tena tapeli kweli.. Daaah! Matusi makubwa namna ile! Moderator Maxence Melo Invisible hebu njooni kwenye huu uzi muone haya matausi ya mama zetu, kwa huyu mtu anaejiita anatibu ukimwi..
[emoji38] [emoji38]Tulia mods wamelala
Hizo dawa hazipo hapo Tanzania dawa zipo nje ya Tanzania sio rahisi kuzipata.Tupe majina yake kwa kiswahili tukiukwaa tutafute hii mizizi maana my 2 unakuwa labda huna