Kupinga picha na kurusha kwenye mitandao ya kijamnii sia haki kabisa

mwangahikaji

Member
May 14, 2013
98
35
Kiukweli naumia sana kwa watu ambao na weza kusema hawanauruma na matatizo yanayo wakuta wezao kwa kuwa vimbelembele kwa kupiga picha za matukio ya vifo vya watu awajiulizi kama ndo ndugu yake anafanyiwa kitu kama kile na kuuzalilisha mwili wake mbele ya mitandao.

Wangejisikiaje au wangekuwa labda ndo mama yake kapatwa na tatizo kama ili halafu anaona picha ya mwili wake unavyo post wa na kutolewa comment wangejisikiaje tubadilikeni jamani kurusha picha za mwili wa marehemu sikama unampenda sana bali unaonesha jinsi gani upendi mtu huyo ndo maana ukaamua kutuma kwenye mitandao hinaniuma sana kwakitendo hiichi kinacho endelea hapa Tanzania.

Sijui tunaiga wapi maana kila kitu tunasema wazungu sijawai kuona msaani mkubwa wa ulaya amekufa kifo cha kutatanisha na picha zake kutumwa mbele ya mitandao mfano mmoja michael jackson kifo chake walitangaza tu lakini sikuona picha ya marehemu jinsi alivyo kufa.

Napenda kumalizia kusema tusiwe na kauli ya kufa kufana niujinga huo maana watu wengi tunapenda kuombea mabaya wezetu ili kufanya mambo yenu kama swala la msiba wa wasani kufa watu tumekuwa wa kwanza kufanya biashara kuliko kutoa mchango wa kuwaliwaza ndugu wa marehemu na kuwa fariji na kujiwapa pole kiukweli hatutendei haki mihili ya marehemu mf kanumba,sharo,na hata ngwea sijapenda swala kama hili lisitokee tena tushirikiane kutokomeza ujinga huu si mzuri jamani
 
moderator
naomba ulichukue hili maana si ustaarabu kuweka picha za marehemu pasipo ridhahaa ya ndugu zake.
 
Kama ni celebrity sioni ubaya ku-upload picha mtandaoni, alimradi zisiwe graphic!! ni njia mojawapo ya kumuaga marehemu kwa watu walio mbali, wala sioni dhalili yoyote hapo mkuu, labda kama kuna mambo umeyaficha!
 
siyo haki mkuu kuonyesha picha za marehemu kuna hizi zinaitwa BLOGS NDIO NUKSI KWA HILI TABIA.
 
Back
Top Bottom