xfactor
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,511
- 1,290
Huhitaji kugharamia kujua plot yako kama imepimwa ama la. Hujui Global Position System (GPS)? Basi utaendele kuibiwa tupu, hiyo ni elimu ya basic kbs, gps ziko mpk za laki tu na simu zingine ziko nayo.
Afu punguza maneno ya kiswahili swahili
Mkuu upo sahihi kuhusu hii knowledge,binafsi nimeanza kufikiria kuwa na GPS Yangu na kujifunza kuitumia ila Hizo za kwenye simu coordinates zake hazifai,huwa zina hitaji kufanyiwa conversion ili uweze kupata eneo kwenye mchoro kule ardhi
Ndio hapo sijaelewa labda aje afafanue vizuri inakuwaje kwenye hiyo laki 3???maana naona kuna changa la macho hapo.... xfactor tafadhali njoo mara moja tusaidie hapa.....
Hii bei ya laki 3 ni kubwa sana kwa kuchukua GPS,bei ya juu kabisa ni laki 1 na kuna ambao wanafanya mpaka kwa elfu 50 kama ni mfanyakazi wa Ardhi maana kwa kawaida kwenda site ni elfu 50 na kupeleka coordinates ardhi ni elfu 50 which makes laki 1.
Japo bei zao kupima mpaka kuweka mawe na kupata hati sio Mbaya sana.kwa kawaida bei ya ekari moja ni around 2M kama eneo husika lina plan ya mipango miji otherwise kama hamna city plan then itabidi uongeze kama 4M kwa ajili ya kuchora city plan na kuipitisha
Last edited by a moderator: