Habari? Nenda halmashauri wachukue Surveyor aje kuchukua coordinates ya eneo husika, baada ya hapo watapeleka kwa Afisa Mipango miji kuangalia eneo hilo limepangwa kwa ajili ya matumizi gani,Habari za majukum wanajamvi.
Ninahitaji huduma ya kupimiwa eneo langu ili ni process kupata hati ya kiwanja. Eneo lipo kibaha mkoa wa pwani. Any leads nitashukuru sana