Kupima Reasoning ya Mwanamke

Baki na stori zako na nyoka, ila uhalisia unauona mwenyewe.

Kujumuisha kwa Kusema wanamke ni dhaifu huu ni ujuha na wakati kuna wanaume dhaifu kuzidi wanawake.
utakuja kunambia siku moja labda uwe woman na wewe kama kweli man utakuja kunambia
 
Bado anaishi kwenye zama za giza ambapo mwanamke alikua anabaguliwa kila sector ata kwenye kutoa mawazo
 
Usipoteze muda wako kumuelewesha huyo, muandiko tu unaonesha ni mtu wa aina gani
 
Sijakataa na umeniquote vibaya hakuna sehem nimesema nawazidi wanawake katika hizo nyanja
 
Wewe Bila shaka hujalelewa na baba
 
Bahati mbaya huyu hana Mama
 
Hahahaa kuna usemi kwamba mwanamke akiwa na makalio makubwa akili sufuri
 
Ni Kukengeuka huko wala hakumaanishi kwamba ndio wana power
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…