Kupigwa risasi kwa padri

Ferdinand M

New Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
3
Reaction score
1
Jamani watanzania tunaenda wapi, kwa tukio lilitokea jana kwa KUPIGWA RISASI PADRI tena siku x-mass?
 




Padre anayejulikana kwa jina la Ambrose Mkenda, inadaiwa amepigwa Risasi na Watu wasiofahamika kwenye wakati akiwa katika geti la nyumbani kwake wakati akiingia nyumbani kwake maeneo Kitomondo Mjini Zanzibar, ambako ni makazi, alipokuwa ndani ya gari alilokuwa akiendesha akiwa peke yake.​
Kwa mujibu wa taarifa ya Redio One Stereo, iliyotolewa jana, imeelezwa kuwa hali ya Padre huyo kwa sasa bado si nzuri kutokana na risasi hiyo kumjeruhi maeneo ya mdomoni. ​
Aidha imeelezwa kuwa watu waliofanya tukio hilo walionekana wakiwa katika usafiri wa pikipiki, ambapo walimvamia wakati akisubiri kufunguliwa geti ili kuingia nyumbani kwake. ​




Posted by Henry Oswald Kapinga



Jamani watanzania tunaenda wapi, kwa tukio lilitokea jana kwa KUPIGWA RISASI PADRI tena siku x-mass?
 
Kuna ujinga unaofanywa na serikali,hawataki kusema ukweli tu,zanzibar kuna ubaguzi mbaya kabisa wa kidini na rangi:ni watu wabaya na wasiovumilika wazanzibar,kwa maoni yangu sioni hata huo muungano unabembelezwa wa nini.tatizo hapo ni zaidi ya dini,ni ubara na uzanzibar,tuachane na jinamizi la mwalim,tuvunje ukimya ,tuachane na hii miungano isiyo na tija ,kutwa kuumizana tu hakuna lolote la maana.miaka 50 watu mnalumbana tu,muungano gani huu.utoto mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…