TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Labda Kuwe na Gaidi anataka Kulipua Bunge, Askari wanatumiwa Bungeni Ni wale wa Bunge Tu. Kuleta FFU Bungeni, Usalama wa Taifa Askari Kanzu Kupiga wabunge ati ili wakubali Kuburuzwa Ni Serikali Kuingilia Bunge. Na Huyu Mpuuzi Chenge Kama anajua Sheria asingetumia askari hao.
Natamani Nikiamka asubuhi, najua Huko ni karibu na Mchana Nikute Huyu Endrew Chenge, Ameondolwwa haraka sana. Vinginevyo kama Mwendo Ni Huu Nchi itachafuka, Can U Imagine, Mbunge wa Chadema let say Halima Mdee au Kubenea awe na High blood presure yake tu na kwa kusukumwa au Kupigwa na Askari Afie Kwenye Ukumbi Pale. Nchi si Itawaka.
Anachokifanya Nape Ni Kuwanyima wananchi fursa, ya Kujua wabunge wao wanajadili nini Bungeni, Tetesi zilizopo ni kwamba kurushwa kwa Vikao vya Bunge Moja kwa Moja imedaiwa ndicho kigezo kikubwa sana cha kukua kwa Upinzani. Kitu ambacho CCM katika Vikao vyao vya siri walipanga kuweka udhibiti mkali. Nape Ni waziri wa habari Kwa Kazi hiyo Maalu, "Kufinya" NDIO MKAKATI MPYA HUO. CCM Wabishe
Mimi kwa Niaba ya Watanzania wapenda Amani, Naomba Spika wa Bunge Joab Ndugai Amweke Pembeni Chenge as soo as Yesterday.