Kupiga simu kwa kutumia laptop

Kupiga simu kwa kutumia laptop

Kama una buku ten in pm nikupe mkeka odds 9 sure upige laki ununue simu
Wadau nimeibiwa simu juz kati, hivo napata shida kuwasiliana na ndugu jamaa na marafiki
Naomba anae jua jinsi ya kupiga simu kwa kutumia computer anielekeze
 
Wadau nimeibiwa simu juz kati, hivo napata shida kuwasiliana na ndugu jamaa na marafiki
Naomba anae jua jinsi ya kupiga simu kwa kutumia computer anielekeze
Tafuta modems za 3G huwa baadhi zina hiyo feature... Niliwahi kupitia hali kama yako mkuu miezi kadhaa 😃 bahati nzuri nlkua na modem ya 3G universal ilikua ina features ya ku dial USSD na Calls 📞 na SMS nilikua napiga na kupokea tena kwa quality nzuri mno na kuchat, hakika iliniokoa sana kipindi hiko unfortunately ilikua siwezi tu kutembea nayo kama simu mbele za watu 😂.
 
Back
Top Bottom