By simple analysis inaonekana by the time unaanza game ulikuwa unakaa kwa wazazi kwaiyo mboga tatu zilikuwa hazisumbui, ma mchicha, mlenda, kisamfu, matembele, nyanya chungu na sea food vilikuwa havisumbui so mwili ulikuwa healthy and so the game was good. Sasa at 25 yrs unaonekana unajitegemea so chipsi kuku, burger, nyama choma na bia kwa wingi ndo misosi unayo afford, kwakua hujaoa na hamna wa kukupikia. Jaribu kurekebisha diet utaona changes nzuri tu. Mi nna miaka 40 na goli ya kwanza pye kwa pye napiga 45mins!