kigori wa kilwa
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 483
- 149
Sure hapo umenena mkuu sema sasa kumuumizaga mtu inakuaga ni shida zaidiii na inakuaga kama gundu ndo maana mtu ka simmind nampa makavu live. Waseme tu naringaa.
Bora waseme tuuu mkuuu kwani wao ni wa kwanza kusema ??????
Duuhh sasa hivi nimempiga mkwala kwanza kuingia jf ndio ananibembeleza hapa kwa magoti aahhhh ahhhhh sijui nikutumie Picha umuone???
nimpendae hata hajali nimeamkaje na nimeshindaje.....
nisiempenda mke wa mtu hofu kufumaniwa....
ni shidaaaaa
Mhhh......me napita tu.....
Hivi ni kwanini mara nyingi mtu unapotokea kumpenda mtu ndio unakuta hana muda na wewe hataa ama ndo anakujibu dry kisooo ila sasa inapotokea mtu hata humuwazi wala huna muda nae ndio anakugaanda na kukupenda mwisho wa siku unaishia kumuumiza na kuonenekana PLAYA ama KICHECHE.
Na mara nyingi wale wa kiume wakionaga manzi anajisogeza inakuaga ngumu sana kukataa.....
Kwanini iko hivo mara nyingi? yaani kupenda usipopendwa na kupendwa usipopenda?
We acha tu!!!!

Like Poles don't Attract Each Other..........!!!!!!!!!!!!