Kupendwa raha jamani

Umesahau mizinga!!
 
Uuuwiii na mpango huu wa kila mtu awe na masyers+Phd??? muda gani tutawaza ajira zinazotupatia heshma brbrniiii!!!! Aiseee lbd mwanachuo huyoo buuum limemuishiaa...
 
kuna wakati wa kulia na wakati wa kucheka.....enjoy brother
 
Hongera sana kwa kupendwa kweli. Muombe mungu iendelee hvyo hvyo.
 
hiyo inawezekana ukioa golikipa coz muda wote yupo hom anaweza kufanya hayo,sasa wewe uoe mtu anafanya kazi kunduchi anaishi mbagala kuamka saa kumi usiku kurudi saa nne usiku hayo mahaba atapata wapi muda wa kukufanyia.
 
Penzi jipya au ndoa changa utaijua tu.....

hiyo inawezekana ukioa golikipa coz muda wote yupo hom anaweza kufanya hayo,sasa wewe uoe mtu anafanya kazi kunduchi anaishi mbagala kuamka saa kumi usiku kurudi saa nne usiku hayo mahaba atapata wapi muda wa kukufanyia.

weekEnd
 
There is a saying in our language:
"hatred can be overcome only by love"
 
mnapenda sana kutendewa kwa kweli duuhhh.
Kazi ipo
 
duuu hongera ndugu....wengine kwetu ni kama ndoto he he he
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…