junior ziro-ii
Member
- Nov 21, 2013
- 23
- 6
Eti mtu akikupenda na wewe ukimpenda si MNAPENDANA?
Na akikuheshimu na wewe ukimheshimu si "MNAHESHIMIANA"?
Na kama akikusaidia na wewe ukimsaidia si MNASAIDIANA? Na
akikupiga na wewe ukampiga si "MNAPIGANA"? Sasa je,
Akikutii na wewe ukimtii jibu lake itakuwaje?
huyu alipiga mzinga wa konyagi au alivuta bange!!!si bure!!Mkuu huyu yamemkuta yepi?
hili swali lako la kimtego kweli!!
Happy new year kwako wewe pia!hap nyu iaaaa mamito