Kupendana kuna raha yake!

Kupendana kuna raha yake!

Joined
Nov 21, 2013
Posts
23
Reaction score
6
Eti mtu akikupenda na wewe ukimpenda si MNAPENDANA?
Na akikuheshimu na wewe ukimheshimu si "MNAHESHIMIANA"?
Na kama akikusaidia na wewe ukimsaidia si MNASAIDIANA? Na
akikupiga na wewe ukampiga si "MNAPIGANA"? Sasa je,
Akikutii na wewe ukimtii jibu lake itakuwaje?
 
ONE FOR THE ROAD...YOU HAVE HAD TOO MUCH TODAY BRO...
541466_356244624475580_869130086_n.jpg
 
Eti mtu akikupenda na wewe ukimpenda si MNAPENDANA?
Na akikuheshimu na wewe ukimheshimu si "MNAHESHIMIANA"?
Na kama akikusaidia na wewe ukimsaidia si MNASAIDIANA? Na
akikupiga na wewe ukampiga si "MNAPIGANA"? Sasa je,
Akikutii na wewe ukimtii jibu lake itakuwaje?

Mnatiana
 
Hii naikumbuka kuna siku jamaa wa matangazo ya Colgate kwenye hizi Fuso za promosheni aliitoa pamoja na kuning'iniza elfu 10 akasema kwa yeyote atakayesema tarehe ya leo anampa ile hela. Watu wakaanza kusema tarehe bwana kila aliyesimama aliambiwa amekosa. Wengine walimtajia tarehe kwa kingereza lakini hakuna aliyepata. Mwisho akasema mlitakiwa mniambie "Tarehe ya Leo" nimeomba mseme tarehe ya leo sijawambia mnitajie tarehe ya leo. Msimbazi ukarudi mfukoni.
 

chief picha yako imenchekesha sana nakumbuka nlitoka na my frend happy na eddo tukaenda jolly pombe zilinyweka sana sana viroba balaa kuja kumtafuta happy haonekani kumbe yupo uvunguni kwa gari la eddo kalala jamani sitasahau nlicheka sana kufika makazi si akataja kujirusha ghorofani kisha bf alikata kumfata wacha alie jamani viroba ni noma.
Sasa jiulize huyo alifikaje kwa tyres??
 
Hata kama akikupiga huwez mrudishia kumpiga labda kama anataka kukuua lazima ujinusuru
 
^^
Umepika chai vizuriii ila mwishoni umeweka chumvi badala ya sukari.
^^
 
Back
Top Bottom