Kupenda sana ni mateso

Jeanclaude

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
259
Reaction score
238
Jamani ninahisi ninateseka kutokana na hisia juu ya rafiki yangu wa kike. Kadri muda muda unavyoenda nahisi ninampenda mpaka nakuwa kama mjinga na nahisi nitamharibu au mimi kuumia sana mapenzi yakifa. Naombeni ushauri wazoefu namna ya kuthibiti hii hali...ni kawaida au ni nini au limbwata?
 
Utaimudutu hiyo halikadri muda unavyokwenda.
kila kitu hadimapenzi ni uzoefu, zingekuwepo sindano za uzoefu tungekudunga
ila hapolazima ukomae nyo mwenyewe...yakukute...uyakabili mwisho wa siku uwe champ.
 
kwanini unatanguliza failure. mbona una wasiwasi na mbele ya mahusiano yenu/hatma ambapo huoni positive.badilisha mtazamo.ona positive.ukishaanza kufikiria mambo ya kuvunjika uhusiano baadae hatima yake ndo itakuwa hivyo.utaanza kutafuta sababu za hapa na pale kuweza kusapoti idea yako.
 
Pole kwako na kwangu lol 🙂Nilichojifunza mpaka sasa,Kwenye mapenzi inabidi wote muwe half way through yaani iwe 50% contribution from both sides...na never love 100% lazima bakiza 20% for failure...au utakuja kuumia vibaya...and thts for your own good!Ask me abt it??
 

Yaani......mimi humu ndani kuna mtu atanitoa roho...sitaki kumtaja ila najijua..........usiku naweka home screen ya JF alafu naikumbatia tablet yangu huku nimelala nayo..........najisahau nafikiri kuwa JF ni nyumba hivyo ni kama huyo mdada anaishi humu kwenye JF. Jamani?. Mapenzi kweli yanaua.
 

Khaaaa! Watania au? Kwani kumwambia ukweli kutapunguza nini kwako?... utakuwa umedata weye!
 
NI yule ulomuona ufukweni?nishamjua nani lakini ngoja nikustiri ha ha ha!!
 

kwi kwi kwi!

Mmh mkuu umenivunja mbavu yan hapo umependa avatar tu umekuwa hivyo akiwa live kama mleta mada?lol
anyway Polen Mungu awaongoze na awapunguzie maumivu.
 
kwi kwi kwi!

Mmh mkuu umenivunja mbavu yan hapo umependa avatar tu umekuwa hivyo akiwa live kama mleta mada?lol
anyway Polen Mungu awaongoze na awapunguzie maumivu.

hahahha.....nikimuona live labda ninaweza kukimbia huku napiga mayowe.......kwikwikwi,.
 
Wa ufukweni sijamtia machoni toka nimuone siku ile.........ila mapenzi yanaua mimi49
Unamaanisha nn yanaua?kufa kwaajili ya mapenzi ni kujitakia!!!kwani ulizaliwa na mtu?i agree love hurts!!but not worth sacrificing your life for!!Its called committing suicide!
 
Unamaanisha nn yanaua?kufa kwaajili ya mapenzi ni kujitakia!!!kwani ulizaliwa na mtu?i agree love hurts!!but not sacrificing your life for!!Its called committing suicide!

I meant not suicidal thing.......kuna visukari, bp,...si unajua mawazo yanaleta magonjwa mengi hatarishi.......hata pia ulevi unaua, mwingine atatafuta relief kwenye Safari...:smile-big:, (samahani nikitaja hicho kinywaji mate yanajaa sana mdomoni)
 
time will tell......

umepata new experience , just let the moment take you.........

mambo ya kuwaza waza hayana maana...........

hamna sababu ya kujiumiza sasa hivi , halafu uje tena kuumia litakapotokea la kutokea..........

kula ladha ya maisha kijana.............
 


hili lako ni tatizo la kisaikolojia sasa..........tena linamtokea mwanaume...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…