Kupenda na kutaman!!

Wasichana huwa wanasema umenipenda au umenitaman!. Je unaweza kutamani kitu ambacho haujakipenda?. Mi nashndwa kuelewa kuwa unaweza kumtamani msichana ambae haumpendi.

Nawakilisha.

do u prefer 2 be loved or 2 be liked?

Kutamani na kupenda tofauti... Wewe kama mwanaume naamini unalielewa hili zaidi yangu - for hii niliipata kutoka kwa rafiki zangu wa Kiume...(samahani if you are not a man) Kuna Mwanamke waweza penda... tena kwa dhati kabisa! Yale mapenzi ya kweli acha haya yalochakachuliwa - Ukampenda kweli mpaka ukataka usiwe nae ukijua fika kua you are not good for her and she deserves better; Hivo hapa ina maana waweza penda mtu mpaka hutaki hata lala nae kama unajua utamdhuru....

Hapo hapo kuna mwanamke waweza mtamani saana tu... ukabahatika kulala nae... na ulipo lala nae ukaona GOD! Hakuna kama yeye katika hio sector... ila tu ni mbovu wa tabia... tabia yake ni chafu huwezi kabisa elewana nae nje ya kitanda... Mfano tu! Ni mmbea... ni mtembezi... ni spender... ni mropokaji.... hakuna kabisa heshima... hakuna nidhamu.. ni mtu huwezi hata onesha rafiki ama familia yako.... Deep down humchukii wala humpendi... But as much as waweza enda kooote huko... Ukalala na pia ukaoa... once in a while wajikuta watamani walau uonane nae thou utaki uwe nae....

Unatisha,naona kama umeandika from personal experiance,vp kuna kadada kanakuzengea ofisin nini?

Jamani haya mambo mbona yako wazi Kutamani na kupenda ni vitu viwili tofauti. Kutamani kunatokana na neno tamaa hasa hili huwa linaongozwa na tamaa ya mwili kutaka kufanya mapenzi hali hii iko zaidi kwa wanaume huwa miili yao ina hadaika na tamaa mara nyingi ya kufanya mapenzi hivyo hujidanganya kwamba amependa kumbe anatamani akishafanya mapenzi anaanza kujuta na kujilaumu kwa nini amefanya mapenzi. Wakati kupenda kuko moyoni mtu anayependa kitu anakuwa anakipenda kwa moyo wote hana masharti kama yale nakupenda lakini... wewe ni masikini huyo akisema hivyo ujue hakupendi. Mtu anayependa huwa hana haraka ya kufanya ngono na mpenzi wake mara nyingi mapenzi ya namna hii huwa yanaelekea kwenye kuoana.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…