Kupenda kunaumiza

Imeandikwa malipo ni hapa hapa duniani. Ni mapema mno kumuacha huyo msaliti. Jifanye mjinga when you get a chance mpe kisasi anachostahili ili aelewe alichokuwa anakufanyia wewe sio kitu kizuri.
Hii cidhan km itasaidia kitu ..hapa duniani kuna watu n don't care ..yan unaweza ukajitahid kuwaumiza lakini wapi yan hawana time kabisa na ww .... Unaweza ukawa kwenye mahusiano na mtu wa design hiyo ukidhani unadate naye kumbe una date mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply... simba akishakula nyama ya binadam huwa aachi kulitoroka pori na kuisaka, msaliti n msaliti tu atokaa aache maamuzi n yako ila me nakushauri achana nae tu ukitaka kuendelea nae ukubaliane tu na hali halisi maumiv ya kila mda kwa sababu ata akikuaga tu anaenda kwao utakuwa unawaza anaenda kukusaliti unavoendelea kumpa nafasi ndivyo anavyozd kuamin kuwa ujiwez kwake na atazd kukuumiza zaid kwa7b unazd kuzama kwake....TUPA KULE MAISHA SIO KUISHI KWA STRESS BE FREE ACHA KUJITIA KIFUNGONI
 
amina my dear frind kwa ushauri wako mzuri
 
asante mkuu kwa ushauri mzuri
 
thanks
for your good song proposed to me and also is good message i give thankx to MY GOD for give u that message and direct it to me
 
Pole huyo mwache aende atakupotezea muda tu majuto ni mjukuu atarudi siku moja
 
Mwanamke msaliti hasamehewi. Huyo hawezi kukuheshimu tena. Pia kama unafikiria kisasi jaribu kutafakari kama ukiongeza maumivu. Kuna msemo unasema kabla hujalipiza kisasi chimba makaburi mawili lakwako na lakwake. Hiyo ni tahadhari kwa lolote litakalotokea baada ya kisasi so unaweza ukaishia kuumia wewe au kisasi kikalipa akaumia yeye.

Mimi kama mimi nakashauri piga chini achana na visasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…